Huyu Israel Mbonyi ni Mrwanda kweli?

Japo mimi sio muumini wa dini yoyote ila kama kaimba hizo nyimbo ni nzuri sana huwa nazisikiliza nikishalewa zina vibe la aina yake,mwamba katisha.
Uache wosia ukifa usifanyiwe dua wala misa
Sio sasa hivi unakataa dini ukianguka tunakupdleka kwa shekhe
 
Uache wosia ukifa usifanyiwe dua wala misa
Sio sasa hivi unakataa dini ukianguka tunakupdleka kwa shekhe
Siwezi fanyiwa usijali mkuu. Kwa sababu hata hivyo sina dini yoyote kweli.
 
Ninyi ambao hauujui muziki na mandhari ya muziki mnatupa shida sana kutuelewesha.Huyo ni mrwanda pure kabisaa ila anaimba kiswahili kwa kutumia translation kutoka kinyarwanda au kiingereza.Anaimba kiswahili ili auze muziki wake yaani apate vibe kwa haraka.kiswahili kinaimbwa atleast robo ya nchi za Afrika.akiimba kinyarwanda atachelewa.wengine ni kama SDA KIGALI WA KWETU PAZURI wanafanya kibiashara zaidi,πŸ™πŸ™πŸ™
 
Haswaa
 
Tokea juzi namsikiliza kwenye wimbo wake wa nitaamini namkubali sana, jamaa yuko vizuri.
Kiukweli hata mimi nashangazwa na ufasaha wake kwenye Kiswahili.
Umeokoka lini tena mama yangu wa kimasai?
 
Tokea juzi namsikiliza kwenye wimbo wake wa nitaamini namkubali sana, jamaa yuko vizuri.
Kiukweli hata mimi nashangazwa na ufasaha wake kwenye Kiswahili.
Anakuja dar november ukuje
 
Ni mkongo aliyekulia Rwanda,ni kama Solomon Mukubwa na Marehemu Chibalonza kuwa Wakenya ilihali ni Wakongo au Kibu Denis Tanzania.
 
Juliana Kanyomozi aliwahi kuimba Kiswahili na hajui neno lolote la Kiswahili zaidi ya mambo vipi, nakupenda basi. Kuimba kwa lugha nyingine sio issue, kuna watu nyuma ya pazia kuyafanya hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…