Huyu Israel Mbonyi ni Mrwanda kweli?

Huyu Israel Mbonyi ni Mrwanda kweli?

Japo mimi sio muumini wa dini yoyote ila kama kaimba hizo nyimbo ni nzuri sana huwa nazisikiliza nikishalewa zina vibe la aina yake,mwamba katisha.
Uache wosia ukifa usifanyiwe dua wala misa
Sio sasa hivi unakataa dini ukianguka tunakupdleka kwa shekhe
 
Uache wosia ukifa usifanyiwe dua wala misa
Sio sasa hivi unakataa dini ukianguka tunakupdleka kwa shekhe
Siwezi fanyiwa usijali mkuu. Kwa sababu hata hivyo sina dini yoyote kweli.
 
Ninyi ambao hauujui muziki na mandhari ya muziki mnatupa shida sana kutuelewesha.Huyo ni mrwanda pure kabisaa ila anaimba kiswahili kwa kutumia translation kutoka kinyarwanda au kiingereza.Anaimba kiswahili ili auze muziki wake yaani apate vibe kwa haraka.kiswahili kinaimbwa atleast robo ya nchi za Afrika.akiimba kinyarwanda atachelewa.wengine ni kama SDA KIGALI WA KWETU PAZURI wanafanya kibiashara zaidi,🙏🙏🙏
 
Haswaa
 
Tokea juzi namsikiliza kwenye wimbo wake wa nitaamini namkubali sana, jamaa yuko vizuri.
Kiukweli hata mimi nashangazwa na ufasaha wake kwenye Kiswahili.
Umeokoka lini tena mama yangu wa kimasai?
 
Tokea juzi namsikiliza kwenye wimbo wake wa nitaamini namkubali sana, jamaa yuko vizuri.
Kiukweli hata mimi nashangazwa na ufasaha wake kwenye Kiswahili.
Anakuja dar november ukuje
 
Ni mnyarwanda pure kabisa na zamani alikuwa anaimba nyimbo za kikwao tu, (tafuta wimbo unaitwa icyambu, bonge la wimbo). But alikuja ku realize kwamba anajilimit sana kwa kuwa lugha yao haijulika na mataifa mengi. Ndio sababu alipoanza kuimba nyimbo za kiswahili kajulikana inchi nyingi. Waimbaji wengi wa Rwanda sasa hv wanaimba kiswahili, sababu audience ya kinyarwanda ni ndogo sana.
Ni mkongo aliyekulia Rwanda,ni kama Solomon Mukubwa na Marehemu Chibalonza kuwa Wakenya ilihali ni Wakongo au Kibu Denis Tanzania.
 
Juliana Kanyomozi aliwahi kuimba Kiswahili na hajui neno lolote la Kiswahili zaidi ya mambo vipi, nakupenda basi. Kuimba kwa lugha nyingine sio issue, kuna watu nyuma ya pazia kuyafanya hayo.
 
Back
Top Bottom