Huyu Jaden Smith amekumbwa na nini?

Huyu Jaden Smith amekumbwa na nini?

Tatizo Marekani watoto wanakuwa exposed to extreme Freedom mapema sana.

Dogo kama Jaden anakuwa maarufu kupindukia, anacheza movie na kina Jack Chan anapata pesa nyingi sana.

Then, Hakuna anayemdhibiti, anaishi mwenyewe tu Apartments huku akijiamulia maisha yake mwenyewe ukijumlisha na balehe why asiharibike!

Hata Justin Bieber alikuwa kaanza kuharibika, kidogo kwa sasa kaanza kukua kiakili.

Huyo dogo alikuwa na nyota kubwa sana ( kama alivyo Chris Brown ) wamejiharibia wenyewe.

Angalau mtu John Legend hana makuu, ana pesa na yuko poa ingawa hajafanya juhudi kuubwa sana kwenye kazi zake.

R. Kelly kafanya kazi balaa na kwa nguvu zote ila mpaka leo anaishi kwa kuunga unga. Hata Chris Brown naona anaelekea huko huko.

Wazungu wakikuona mpuuzi, unavunga Nigga ( Beef ) na polisi haziishi kutwa kutukanana na watu, wanakupuuza.
 
OK kumbe tetesi za kutoka na huyo jamaa alikuwa uzushi tu,vipi kuhusu afya naona kama amebadilika sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo alianza zile imani za kuwa vegealian na mbaya zaidi alikuwa kanunua a 2 milion dollar home akahama kwao. Akawa anakula sijui mikaroti tu na mamboga mboga, later akaja kuwa an malnutrition ikabidi wazazi waingilie kati kumwokoa
 
Hana tatizo ni namna tu anavyojiweka. Kuna trend ya kubadili muonekano kwa wasanii wakimarekani kwa kujibadili muonekano ambao ni mbaya

Wasanii wengi wa trap (mumble rappers) wamebadili mionekano yao wanafanya kama fashion kama kina tekashi, uzi, lip peep, lil pump yaani muonekano wao una elements flani za ki-gay. naona naye dogo akaamua aige
Alikuwa na upungufu wa Nutrients mwilini wazazi wake walikuwa wanahofia pia maana jamaa kiafya alianza kuzorota
 
Ingia YouTube dogo alitaja hadharani kwenye show anabanduliwa na jamaa mmoja comedian halafu anatumia madawa
Hana tatizo ni namna tu anavyojiweka. Kuna trend ya kubadili muonekano kwa wasanii wakimarekani kwa kujibadili muonekano ambao ni mbaya

Wasanii wengi wa trap (mumble rappers) wamebadili mionekano yao wanafanya kama fashion kama kina tekashi, uzi, lip peep, lil pump yaani muonekano wao una elements flani za ki-gay. naona naye dogo akaamua aige

MONEY STOP NONSENSE
 
Ingia YouTube dogo alitaja hadharani kwenye show anabanduliwa na jamaa mmoja comedian halafu anatumia madawa

MONEY STOP NONSENSE
io alitaja but badae jmaa alie tajwa alikuja kukataa kuwa Jaden no shoga
 
Will Smith yuko smart sana ,kuna clip kashuka tu kwenye gari waandishi wakaanza kumhoji ,kuna mwandishi mmoja mwanaume akamkumbatia kwa nguvu na kumkiss shavuni ,hapo hapo alimkata kofi ,sasa sijui huyu mtoto hii tabia katoa wapi
Mbona dogo anapakuliwa kitambo tu[emoji35]hata baba yake aliongea kabsa,alisema anamuacha mwanae achague maisha anayotaka kuishi na familia haita mtenga OVER

Sent using Jamii Forums mobile app

MONEY STOP NONSENSE
 
Kuna kipindi alikuwa hali na hivyo kusababisha afya yake itetereke. Inadaiwa baada ya wazazi wake kumjia juu ameanza kula vizuri na hali yake imekuwa ni ya kuridhisha.

"Jaden Smith" Is Seriously ill, "Will Smith" and "Jada Pinkett Smith" Worried Again After Son's Relation!!!

Alikuwa yuko vizuri tu kama hapaView attachment 1453454akitoka na demu wake safiView attachment 1453460Mara mwonekano unabadilika
View attachment 1453465Mara tetesi za kuwa na mahusiano na wanaume kama huyu jamaaView attachment 1453452View attachment 1453456View attachment 1453463

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom