Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Tatizo Marekani watoto wanakuwa exposed to extreme Freedom mapema sana.
Dogo kama Jaden anakuwa maarufu kupindukia, anacheza movie na kina Jack Chan anapata pesa nyingi sana.
Then, Hakuna anayemdhibiti, anaishi mwenyewe tu Apartments huku akijiamulia maisha yake mwenyewe ukijumlisha na balehe why asiharibike!
Hata Justin Bieber alikuwa kaanza kuharibika, kidogo kwa sasa kaanza kukua kiakili.
Huyo dogo alikuwa na nyota kubwa sana ( kama alivyo Chris Brown ) wamejiharibia wenyewe.
Angalau mtu John Legend hana makuu, ana pesa na yuko poa ingawa hajafanya juhudi kuubwa sana kwenye kazi zake.
R. Kelly kafanya kazi balaa na kwa nguvu zote ila mpaka leo anaishi kwa kuunga unga. Hata Chris Brown naona anaelekea huko huko.
Wazungu wakikuona mpuuzi, unavunga Nigga ( Beef ) na polisi haziishi kutwa kutukanana na watu, wanakupuuza.