Huyu Jaden Smith amekumbwa na nini?

Nimeshaelewa.

Hivi mtu akiwa gay ni lazima awe yeye ndio anayefanywa? Yule mfanyaji siyo Gay?
Mfano, kama huyo Tyler ni Gay (wanavyosema) sasa kama Jaden alivyosema ingekuwa ni kweli na wote ni Gay ni ngumu kujua anayemfanya mwenzake.
Kale kachalii kako rojorojo sana kama ka manzi vile,lazima ndo kawe kabanduliwa.
 
Nimeshaelewa.

Hivi mtu akiwa gay ni lazima awe yeye ndio anayefanywa? Yule mfanyaji siyo Gay?
Mfano, kama huyo Tyler ni Gay (wanavyosema) sasa kama Jaden alivyosema ingekuwa ni kweli na wote ni Gay ni ngumu kujua anayemfanya mwenzake.
Anayefanya ni TOP
Anayefanya ni BOTTOM
Anayefanya na kufanywa ni VERSATILE
BUT generally wote ni GAY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo alianza zile imani za kuwa vegealian na mbaya zaidi alikuwa kanunua a 2 milion dollar home akahama kwao. Akawa anakula sijui mikaroti tu na mamboga mboga, later akaja kuwa an malnutrition ikabidi wazazi waingilie kati kumwokoa
Hahaa eti mikaroti,dogo alifakamia bila kujua utaratibu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliiona kwenye kipindi fulani cha maceleb,jamaa alimaind sana
Will Smith yuko smart sana ,kuna clip kashuka tu kwenye gari waandishi wakaanza kumhoji ,kuna mwandishi mmoja mwanaume akamkumbatia kwa nguvu na kumkiss shavuni ,hapo hapo alimkata kofi ,sasa sijui huyu mtoto hii tabia katoa wapi

MONEY STOP NONSENSE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani akigongwa yy inakuingia ww? Mbona km unaumia sn?
 
Nami nilidhani hivyo. Bado tuko pale pale kutojua nani ni mfanyaji na nani ni mfanywaji? Au labda wanafanyana. 😷😷😷

Akisema anaishi na boyfriend itakuwa wote ni ma-boyfriend to each other.
 
Nami nilidhani hivyo. Bado tuko pale pale kutojua nani ni mfanyaji na nani ni mfanywaji? Au labda wanafanyana. [emoji40][emoji40][emoji40]
Siyo gays nahisi. Sema huyu mmoja ana-do drugs sana. Nahisi ingekuwa kweli.wasingeogopa kujitangaza.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…