Huyu Jaden Smith amekumbwa na nini?

Huyu Jaden Smith amekumbwa na nini?

Hana tatizo ni namna tu anavyojiweka. Kuna trend ya kubadili muonekano kwa wasanii wakimarekani kwa kujibadili muonekano ambao ni mbaya

Wasanii wengi wa trap (mumble rappers) wamebadili mionekano yao wanafanya kama fashion kama kina tekashi, uzi, lip peep, lil pump yaani muonekano wao una elements flani za ki-gay. naona naye dogo akaamua aige
Anapakuliwa CHOO.. Sio UZUSHI.. Vidume vinagusisha kikojoleo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mabaharia nadhani hilli halihitaji ufafanuzi
 
Hahaa eti mikaroti,dogo alifakamia bila kujua utaratibu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kitu kingine kilichomponza kwenye career yake ni kujifanya mwana phylosophy na much know sana. Dogo anajifanya anajua kila kitu kiasi kwamba maproducers na madirectors wa movie walianza kumuavoid. Halafu kwenye movie ya after earth alipata titile ya the worst actor of the year...
 
Wazazi wake wamelea vibaya, mtoto ukimpa kila kitu anakua jinga kama huyu. Kakonda balaa na si hata sababu ya madawa, sababu anajifanya hali nyama, eti kawa vegan hahaha! nyoko kabisa. Ghafla kageuka gay, na utakuta si gay basi tu anafanya hivyo ili kujaribu kua politically correct. Ukiwa na hela kua makini sana ukiwa na watoto, usiwape kila kitu, will smith ni actor mzuri ila kama mzazi nampa 0 kabisa kati ya 100 sio hata 10. Watoto wake wote machizi tu.
 
Dogo alianza zile imani za kuwa vegealian na mbaya zaidi alikuwa kanunua a 2 milion dollar home akahama kwao. Akawa anakula sijui mikaroti tu na mamboga mboga, later akaja kuwa an malnutrition ikabidi wazazi waingilie kati kumwokoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeimiss avatar ya zamani mkuu
...
images%20(4).jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom