Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Wewe ni mgeni hapa mjini, wewe unaamini anakunywa pombe kali na siyo maji?Jamaa anaonekana ni kama ana tatizo la kisaikolojia.
Amekuwa akijirekodi na kujirusha katika mitandao ya kijamii akinywa pombe kali mbalimbali. Style yake akiweka chupa mdomoni hatoi mpaka ahakikishe kinywaji kimeisha.
Mnaomfahamu, huyu kijana anahitaji msaadana ushauri wa haraka la sivyo uhai wake upo mashakani.
Lakini hata vyombo vya dola vimzuie ikiwemo kumkamata. Huyu mtu anahatarisha uhai wake kisa kutafuta follwers mitandaoni.View attachment 3256147View attachment 3256148View attachment 3256150
Good observation indeed.I like it.Wewe ni mgrni hapa mjini, wewe unaamini anakunywa pombe kali na siyo maji?
Fanya home yako nunuwa double kiki tobowa chini mwaga pombe jaza maji rudishia tundu ziba kwa super glue.
Hujiulizi kwa nini anatumia vichupa vya plastic na siyo konyagi?
Naaam hapo umetufungua wengi akili, na kila chupa anaweza kuacha pombe robo tu alafu ndio akaweka maji ili kutokeza hisia za kilevi kidogoWewe ni mgeni hapa mjini, wewe unaamini anakunywa pombe kali na siyo maji?
Fanya home work yako nunuwa double kiki tobowa chini mwaga pombe jaza maji rudishia tundu ziba kwa super glue.
Hujiulizi kwa nini anatumia vichupa vya plastic na siyo konyagi?
Ndivyo MLIVYO wa utoAngevaa bac hata jezi ya Namungo .mpuuzi huo anachafua jezi ya taifa
Unaitwa Polisi kwakutoa taarifa za uongo na uchochezi.His life his choice
Akili anazo timamu ndo maana amevaa na jezi ya yanga [emoji1][emoji1]
Mm nishawah kumuona huyu anfungua konyagiMaji hayo ujinga uo tunafanya sana sikia mwambie afubgue konyagia au kvant afanye ivo
Ungekuwa hujafunga nilitaka kusema umeshasema! Nakutakia Ramadhani njema mkuu ambaye hujasema.Kuna kitu nilitaka kusema, ila nikakumbuka nipo kwenye mfungo, nikawaza nikasema si vyema kumtakia mtu mapumziko ya milele, nilitaka kusema "wapumbavu kama hawa wakienda taifa linapata afadhali" ila nikakumbuka nipo kwenye mfungo