heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Kuna jamaa akifungua chupa ya hzi pombe kali akiweka mdomon anashusha chupa tupuKiki za mjini....
Hao wako wengi....haswa huku mabanda umiza.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa akifungua chupa ya hzi pombe kali akiweka mdomon anashusha chupa tupuKiki za mjini....
Hao wako wengi....haswa huku mabanda umiza.....
Naunga mkono hoja.Hujiulizi kwa nini anatumia vichupa vya plastic na siyo konyagi?
Umeshawahi kujiuliza pombe fake na ziko sealed na zina stika za TRA zinatoka wapi?Wewe ndio ufanye homework, huyo jamaa anabugia hadi valuer sijui sasa utasema anaweka chai
View attachment 3257326
Hakuna material ambayo haipatikani, tembelea viwanda bubu ndio utaelewa.me naona bottles ni mpya
Hakuna material ambayo haipatikani, tembelea viwanda bubu ndio utaelewa.
Kama unatumia Facebook ingia kwenye hii link ya Free photoshop edit ukaone dunia ilivyo mbali na wewe upo miaka 100 nyuma.
View: https://www.facebook.com/share/p/165caDXNqT/
Huwa anakunywaga mpaka Konyagi mbonaWewe ni mgeni hapa mjini, wewe unaamini anakunywa pombe kali na siyo maji?
Fanya home work yako nunuwa double kiki tobowa chini mwaga pombe jaza maji rudishia tundu ziba kwa super glue.
Hujiulizi kwa nini anatumia vichupa vya plastic na siyo konyagi?
Umekaza sana fuvu🚮🚮Umeshawahi kujiuliza pombe fake na ziko sealed na zina stika za TRA zinatoka wapi?
Unashindwa kutumia hata akili ndogo uliyonayo?
Wewe hujawahi hata kuona watu wa mazingaombwe mashuleni.