Huyu jamaa anahitaji ushauri wa haraka ili kuokoa uhai wake

Huwa anakunywaga mpaka Konyagi mbona
 
Umeshawahi kujiuliza pombe fake na ziko sealed na zina stika za TRA zinatoka wapi?

Unashindwa kutumia hata akili ndogo uliyonayo?

Wewe hujawahi hata kuona watu wa mazingaombwe mashuleni.
Umekaza sana fuvu🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…