Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Wakuu hamjakutana na huyu jamaa anajiita mkaka wa Taifa sijui, huyu jamaa anatafuta umaarufu au haishi Tanzania? So anajali ajira za wachache kuliko vifo vya maelfu ya Watanzania ambao kila siku vinazidi kushika namba. Huyo Mange mnaemshutumu hatekwi huyo, huyo haishi maisha magumu, hata akisema anyamaze hapungukiwi kitu anamaisha yake huko nje.
Shida ipo kwetu sisi watanzania ambao ndugu zetu wanakufa kama kuku alafu mnataka tuendelee kunyamaza, watu tuna degree tuko mtaani alafu vyeo wanapewa wenye certificate, elimu yetu haina thamani tena
Aliwahi kusema Amb. Humphrey Polepole wako watu watashitakiwa wengine watanyongwa mimi naongezea apo kuna vijana wengine inabidi waishi kwa akili watafanywa vibaya nchi ikirudi kwa wananchi wenyewe iyo # ni sawa kabisa maaana ata wewe nikikuulza utalii unakusaidia nini we na familia yako uwez nipa jibu sana sana kama wananchi tulifaidika na royal tour maana wengine hatukuwahi kuenda mbugani kutokana na bei za kuufanya huo utalii laiti ungekua unajua tabia za wilder beast ndio ulizonazo wewe nyumbu kabisa