kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
- Thread starter
- #21
Maji yamekwisha mwagika mkuu..tunamshauri nin sasa?Mzembe uyo MTU ana mshahara anafeli vp?hela chuo kikuu inarahisisha masomo.
Mwenye uelewa kanielewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji yamekwisha mwagika mkuu..tunamshauri nin sasa?Mzembe uyo MTU ana mshahara anafeli vp?hela chuo kikuu inarahisisha masomo.
Mwenye uelewa kanielewa
Kulikuwa na haja ya nia njema ya kuyaweka matokeo yake hapa? Haikuweza kutosha kusema amekuwa discontinued katika masomo yake?Matokeo yake nitayaweka hapa ili mtoe mawazo yenu wakuu coz mimi binafsi nimemshauri aachane na mambo za kusoma kwa sasa aangalie maisha yake na familia yake tu.
Akasomeshe watoto wake nakupiga kazi kwa bidii kusoma sio fani yake tenaUshauri wako ni nin sasa kwa huyu jamaa yetu?
Hayo matokeo hakuna jina wala registration number.nimeyaweka ili wadau waone performance yake watoe maoni yao kama ni aendelee na shule or aachane na mambo ya elimu kabisa.Kulikuwa na haja ya nia njema ya kuyaweka matokeo yake hapa? Haikuweza kutosha kusema amekuwa discontinued katika masomo yake?
Tayari ana diploma ya maendeleo ya jamii mkuu.Kusoma ukiwa mtu mzima challenge sana, huku sijui hela ya pango,chakula, watoto ada, vitu havipandiii 🤔🤔😊😊😊😊😊, mwambie awaambie ukweli familia yake asipofanya hivyo watajua tu in the near future, kisha mwambie achukue tena shule ila sasa hivi achukue degree iliyovunjwa vunjwa namaanisha aanze cheti,then diploma then degree, hata asipomaliza finishing line still atakua ame accumulate vyeti vinavyoweza kumsaidia mbeleni
Sawa mkuuAkasomeshe watoto wake nakupiga kazi kwa bidii kusoma sio fani yake tena
Mimi mambo ya shule nilisahau muda sana nikajikita kwenye kozi za kawaidaPoa mkuu,zimefika
Sawa mkuuEconomics udsm sio lele mama. mimi nilisoma BA economics & statistics.
Huyo ndugu yako kama ana changamato na hesabu ajaribu kozi nyingine sio economics
Ulisoma mambo gani mkuu?Mimi mambo ya shule nilisahau muda sana nikajikita kwenye kozi za kawaida
Bora angelimaKwema wasomi?
Kuna jamaa angu ni in service wa halmashauri moja hapa Tanzania, mwaka 2019 alinifuata kuniomba ushauri wa program na chuo cha kusoma hapa Tanzania, kwa uelewa wangu kiasi niliokua nao kwa kipindi hicho,nikamahauri ni Bora atafute chuo cha private walau huko kunakua na unafuu na angalau hata jiumiza sana ukizingatia ni mtu mzima kiasi(38+),yeye akaona kama namzibia ridhiki coz ndoto zake zilikua kusoma uchumi udsm,kweli akaomba chuo akapata udsm BA ECONOMICS. Mwaka wa kwanza umeenda vizuri kiasi,mwaka wa pili umekua mbaya sana,kwani kapigwa discontinue,so hapa kanitumia matokeo yake ili nijaribu kumshauri nini cha kufanya.anasema anaona hata aibu kumwambia mkewe kuwa kaliwa kichwa huko chuo.
Matokeo yake nitayaweka hapa ili mtoe mawazo yenu wakuu coz mimi binafsi nimemshauri aachane na mambo za kusoma kwa sasa aangalie maisha yake na familia yake tu.
View attachment 1974214
Kama hii maendeleo ya jamii ndio kitu alichosoma mwanzoni kwa nini alibadilisha kwenda uchumi?? Labda uwezo wake ulikua kwenye maendeleo ya jamii. Sometimes its not about the money,do something you are passionate about,mambo magumu ya uchumi angeachana nayo,anyway nakubaliana na wadau hapo juu aache tu shule afanye mambo mengine.Tayari ana diploma ya maendeleo ya jamii mkuu.
Sawa mkuuUdsm, the home of intellectuals............daah mpe pole sana tumemkosa alumni mchumi
OkBora angelima
Sawa mkuu.nashukuru kwa mchango wakoKama hii maendeleo ya jamii ndio kitu alichosoma mwanzoni kwa nini alibadilisha kwenda uchumi?? Labda uwezo wake ulikua kwenye maendeleo ya jamii. Sometimes its not about the money,do something you are passionate about,mambo magumu ya uchumi angeachana nayo,anyway nakubaliana na wadau hapo juu aache tu shule afanye mambo mengine.
Hapana.Kwani amekuruhusu matokeo yake uyaanike hapa?