Huyu jamaa angu hana hamu na UDSM kwa hiki alichokipata

Hawa watu wapumbavu kabisa. Elimu yenyewe mwisho wake ajira. Bado anang'ang'ana tu usemi wa wahenga ELIMU HAINA MWISHO?. Atavuna alichopanda.

Hapo bado hajaumia subiri arudi home,wale wenzie aliwaacha home wanaanza kilimo wakati anaenda chuo akiwakuta wanamiliki meli
 
Matokeo yake nitayaweka hapa ili mtoe mawazo yenu wakuu coz mimi binafsi nimemshauri aachane na mambo za kusoma kwa sasa aangalie maisha yake na familia yake tu.
Kulikuwa na haja ya nia njema ya kuyaweka matokeo yake hapa? Haikuweza kutosha kusema amekuwa discontinued katika masomo yake?
 
Kwani amekuruhusu matokeo yake uyaanike hapa?
 
Kusoma ukiwa mtu mzima challenge sana, huku sijui hela ya pango,chakula, watoto ada, vitu havipandiii 🤔🤔😊😊😊😊😊, mwambie awaambie ukweli familia yake asipofanya hivyo watajua tu in the near future, kisha mwambie achukue tena shule ila sasa hivi achukue degree iliyovunjwa vunjwa namaanisha aanze cheti,then diploma then degree, hata asipomaliza finishing line still atakua ame accumulate vyeti vinavyoweza kumsaidia mbeleni
 
Kulikuwa na haja ya nia njema ya kuyaweka matokeo yake hapa? Haikuweza kutosha kusema amekuwa discontinued katika masomo yake?
Hayo matokeo hakuna jina wala registration number.nimeyaweka ili wadau waone performance yake watoe maoni yao kama ni aendelee na shule or aachane na mambo ya elimu kabisa.
 
Tayari ana diploma ya maendeleo ya jamii mkuu.
 
Economics udsm sio lele mama. mimi nilisoma BA economics & statistics.
Huyo ndugu yako kama ana changamato na hesabu ajaribu kozi nyingine sio economics
 
Economics udsm sio lele mama. mimi nilisoma BA economics & statistics.
Huyo ndugu yako kama ana changamato na hesabu ajaribu kozi nyingine sio economics
Sawa mkuu
 
Bora angelima
 
Tayari ana diploma ya maendeleo ya jamii mkuu.
Kama hii maendeleo ya jamii ndio kitu alichosoma mwanzoni kwa nini alibadilisha kwenda uchumi?? Labda uwezo wake ulikua kwenye maendeleo ya jamii. Sometimes its not about the money,do something you are passionate about,mambo magumu ya uchumi angeachana nayo,anyway nakubaliana na wadau hapo juu aache tu shule afanye mambo mengine.
 
Sawa mkuu.nashukuru kwa mchango wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…