Huyu jamaa asipuuzwe huenda ni Nabii

Huyu jamaa asipuuzwe huenda ni Nabii

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Achana na kina mwamposa janjajanja ya mjini hakuna lofoten ila huyu LEMA huenda akawa Nabii asilimia 75% ya mambo ambayo alikwisha sema au atakayosema kuhusu mtu fulani basi bila shaka hutokea.
Akifungua kanisa atajaza watu kama kumbikumbi .
FB_IMG_1765648601948.jpg
 
View attachment 3515198
Kuna vitu viko wazi sana ujue yaani unakiona kilikoanzia na kitakakoishia
 
TUTAWANYOOSHA.

Anaandika GODBLESS LEMA~

Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight bila fujo yoyote. Hii ni kwa Gen Z na watu wengine wote.

Hatupigi kelele, hatutukani , tunapiga BAN.

1️⃣ Wakisema kuna show → USIENDE kabisa. FULL BAN
2️⃣ Kampuni inayofadhili hiyo show~BAN bidhaa zao zote
3️⃣ Ukumbi uliotumika , USIWEKE MIGUU~BAN
4️⃣ Makampuni yanayowasponsor kupitia radio, TV, mabango~BAN huduma zao
5️⃣ Pages zao kwenye social media~UNFOLLOW WOTE NOW. BAN

6️⃣ Streams zao (YouTube, Spotify, Boomplay, Apple Music) → DON’T PLAY. BAN
7️⃣ Ringback / caller tunes → ONDOA. BAN
8️⃣ Events wanazohudhuria kama guests → IGNORE kabisa. BAN
9️⃣ Brands zinazowachukua kama ambassadors → BAN hiyo brand
🔟 Media interviews zao → USITAZAME, USISKILIZE. BAN

1️⃣1️⃣ Merchandise zao → USINUNUE. BAN
1️⃣2️⃣ Hashtags zao → USITUMIE, USITRENDSHE. BAN
1️⃣3️⃣ Fan pages zinazowapromote → MUTE / BLOCK. BAN
1️⃣4️⃣ Clubs & lounges zinazowaplay → USIENDE. BAN
1️⃣5️⃣ Award shows wanazoteuliwa → USIPIGE KURA. BAN

🧠 Kanuni ya Gen Z na wananchi wote, Hakuna fujo. Hakuna matusi.
Attention = currency.
Ukikata support → nguvu inaisha.

👉 No support. Full BAN.
#GenZ #WatuWote #BAN #NoSupportNoShow

HUYU HAPA
1765649384993.jpg
 
HUYU HAPAView attachment 3515202
bado RIP SIMBA NA YANGA + kukimbiza mienge.
 
Anautabiri gani. Wakati mambo mengine unatumia akili unagundua mwelekeo
 
Back
Top Bottom