Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Yan hamkulengwa nyie mliokuwa mnakiwasha akapigwa wa kibarazani 🥲Aisee! Ni huzuni tupu! Ila sio huko tu! Hata huku kwetu kuna mwingine nilimshuhudia live bila kuambiwa! Alikuwa ni mmama amesimama nje ya kibaraza chake akishangaa vijana tukikiwasha, mara polisiccm mmoja akamnyooshea bunduki! Kilichofuata ni watu tuliona ubongo wa mtu live! Ikabidi tumchukue hadi kwa mkuu wa wilaya, saa ngapi polisiccm hawajatimba! Ilikuwa ni mtafutano maana walikuwa wanarusha za moto! Tukamuacha maiti, wakabeba wakaondoka nae!! Sijui walimzika au hawakumzika? Ila kama wewe ni mmoja wa wale tuliokiwasha october 29, na haujafa wala kukatika kiungo chochote kile, sema AMEN! Si wengine tumeponea chupuchupu!! Hii kitu bado inanitesa hata nikilala bado naiota! Ile siku ndo mara yangu ya kwanza kumuona mtu anakata roho pembeni yangu!! Aisee ASANTE MUNGU KWA KUNILINDA DHIDI YA POLISICCM! Japokuwa tusiyemtaka kaja tena, ila onyo limefika.
Hii week kazi yako ni duh na mh
Yaliokuwa huku yalikuwa yanasikitisha asee ukisimulia utaona watu waongo binafsi nimeshuhudia kwa macho gari limetupita mar gafla kioo kikashushwa chuma zikatuelekezea pale pale wale watu sio kabisaYan hamkulengwa nyie mliokuwa mnakiwasha akapigwa wa kibarazani 🥲
Mlikuwa mmekaa kikundi?Yaliokuwa huku yalikuwa yanasikitisha asee ukisimulia utaona watu waongo binafsi nimeshuhudia kwa macho gari limetupita mar gafla kioo kikashushwa chuma zikatuelekezea pale pale wale watu sio kabisa
nimeshangazwa sana na haya maajabu ya MAMA.Hii week kazi yako ni duh na mh
Good QuestionTuanzie hapa kati ya polisi na waandamanaji nani alianza kuua wenzie?
Mmemsababishia mama wa watu matatizo yeye na familia yake halafu unakuja kujisifu ujinga.Aisee! Ni huzuni tupu! Ila sio huko tu! Hata huku kwetu kuna mwingine nilimshuhudia live bila kuambiwa! Alikuwa ni mmama amesimama nje ya kibaraza chake akishangaa vijana tukikiwasha, mara polisiccm mmoja akamnyooshea bunduki! Kilichofuata ni watu tuliona ubongo wa mtu live! Ikabidi tumchukue hadi kwa mkuu wa wilaya, saa ngapi polisiccm hawajatimba! Ilikuwa ni mtafutano maana walikuwa wanarusha za moto! Tukamuacha maiti, wakabeba wakaondoka nae!! Sijui walimzika au hawakumzika? Ila kama wewe ni mmoja wa wale tuliokiwasha october 29, na haujafa wala kukatika kiungo chochote kile, sema AMEN! Si wengine tumeponea chupuchupu!! Hii kitu bado inanitesa hata nikilala bado naiota! Ile siku ndo mara yangu ya kwanza kumuona mtu anakata roho pembeni yangu!! Aisee ASANTE MUNGU KWA KUNILINDA DHIDI YA POLISICCM! Japokuwa tusiyemtaka kaja tena, ila onyo limefika.
we mbwa kama we ni keybody warior shauri yako, ina maana haujanielewa niliposema huyo mmama alikuwa amesimama kibarazani? Kwani polisiccm si angetulenga sisi? Au we ni mmoja wa polisiccm sasa unataka kuonesha kwamba sisi ndo wakulaumiwa? Mbwa wewe.Mmemsababishia mama wa watu matatizo yeye na familia yake halafu unakuja kujisifu ujinga.
Sio kikundi wala na ni kibarazani kila mtu yupo na mambo yake wakawasha pale paleMlikuwa mmekaa kikundi?
Kwa jinsi akili yako ilivyo makalioni mwako.we mbwa kama we ni keybody warior shauri yako, ina maana haujanielewa niliposema huyo mmama alikuwa amesimama kibarazani? Kwani polisiccm si angetulenga sisi? Au we ni mmoja wa polisiccm sasa unataka kuonesha kwamba sisi ndo wakulaumiwa? Mbwa wewe.
Kwaiyo unataka kusemaje jombii.Narudia tena na swali kati ya polisi na waandamanaji nani alianza kuua kundi linguine wa kwanza?
Ni nani aliyeanza kuua waliopiga kura?
Ni nani aliyechoma vituo vya kupigia kura?
Ni nani waliouwa askari kwa kuwachomea ndani ya magari?
Ni nani aliyekata vidole vya waliopiga kura?
Ni nani aliyechoma sheli za watu wasiohusika?
Ni nani aliyetaka kuchoma ikulu na binge?
Ni nani aliyeanza kuchoma vituo vya polisi?
Ni nani aliyetaka kuchoma relief ya kisasa ya SGR?
AiseeYani ukitazama watanzania waliuwawa inatia huzuni mzito sana na majozi yasiyoelezeka kwa ndugu na hata Taifa
Huyu jamaa kwenye picha Alikuwa anaishi Kimara Korogwe , Askari alimfuata na kumpiga risasi tumboni utumbo ukatoka nje, alipoinama akishika tumbo kwa maumivu akaongezwa risasi matakoni.
Chanzo kutoka kw Twaha Mwaipaya