Ukiweza jibu hivyo viswali kwanzaKwaiyo unataka kusemaje jombii.
Ukiweza jibu hivyo viswali kwanzaKwaiyo unataka kusemaje jombii.
Polisi wameanza kuua na kupoteza watu kabla ya maandamano.Mfano yule kijana wa Mtwara alipigwa sindano ya sumu na polisi kwenye maandamano?Narudia tena na swali kati ya polisi na waandamanaji nani alianza kuua kundi linguine wa kwanza?
Ni nani aliyeanza kuua waliopiga kura?
Ni nani aliyechoma vituo vya kupigia kura?
Ni nani waliouwa askari kwa kuwachomea ndani ya magari?
Ni nani aliyekata vidole vya waliopiga kura?
Ni nani aliyechoma sheli za watu wasiohusika?
Ni nani aliyetaka kuchoma ikulu na binge?
Ni nani aliyeanza kuchoma vituo vya polisi?
Ni nani aliyetaka kuchoma relief ya kisasa ya SGR?
Vampirenimeshangazwa sana na haya maajabu ya MAMA.
UmemalizaPolisi wameanza kuua na kupoteza watu kabla ya maandamano.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aisee! Ni huzuni tupu! Ila sio huko tu! Hata huku kwetu kuna mwingine nilimshuhudia live bila kuambiwa! Alikuwa ni mmama amesimama nje ya kibaraza chake akishangaa vijana tukikiwasha, mara polisiccm mmoja akamnyooshea bunduki! Kilichofuata ni watu tuliona ubongo wa mtu live! Ikabidi tumchukue hadi kwa mkuu wa wilaya, saa ngapi polisiccm hawajatimba! Ilikuwa ni mtafutano maana walikuwa wanarusha za moto! Tukamuacha maiti, wakabeba wakaondoka nae!! Sijui walimzika au hawakumzika? Ila kama wewe ni mmoja wa wale tuliokiwasha october 29, na haujafa wala kukatika kiungo chochote kile, sema AMEN! Si wengine tumeponea chupuchupu!! Hii kitu bado inanitesa hata nikilala bado naiota! Ile siku ndo mara yangu ya kwanza kumuona mtu anakata roho pembeni yangu!! Aisee ASANTE MUNGU KWA KUNILINDA DHIDI YA POLISICCM! Japokuwa tusiyemtaka kaja tena, ila onyo limefika.
Kwa jinsi akili yako ilivyo makalioni mwako.
Huoni kuwa ujinga wenu na wenzako umesababisha Mauti ya mtu asiye na hatia.
Kuna justification gani unayotaka kuitafuta?Tuanzie hapa kati ya polisi na waandamanaji nani alianza kuua wenzie?
Video iko wapi?Yani ukitazama watanzania waliuwawa inatia huzuni mzito sana na majozi yasiyoelezeka kwa ndugu na hata Taifa
Huyu jamaa kwenye picha Alikuwa anaishi Kimara Korogwe , Askari alimfuata na kumpiga risasi tumboni utumbo ukatoka nje, alipoinama akishika tumbo kwa maumivu akaongezwa risasi matakoni.
Chanzo kutoka kw Twaha Mwaipaya
Huyo jamaa ni matako kabisaKwaiyo unataka kusemaje jombii.
Hii nimeamini 100% unawezaje kumpiga risasi ya kichwa raia mwenye jiwe????U polisi ni kazi ya laana mme amini sasa
Mmeteka mmeua, mmeiba uchaguzi, mmefungia wapinzani kwa kuwazushia kesi fake, mmevunja kila sheria ya nchi kubaki madarakani, sasa watu wakiandamana mnawaita wahalifu na wavuruga amani, mapambano ndio yameanza FYIWahalifu hao, watu wanachoma moto, wanaiba, na kuvuruga amani!
Bila shaka yoyote, Wewe utakuwa policcm.Narudia tena na swali kati ya polisi na waandamanaji nani alianza kuua kundi linguine wa kwanza?
Ni nani aliyeanza kuua waliopiga kura?
Ni nani aliyechoma vituo vya kupigia kura?
Ni nani waliouwa askari kwa kuwachomea ndani ya magari?
Ni nani aliyekata vidole vya waliopiga kura?
Ni nani aliyechoma sheli za watu wasiohusika?
Ni nani aliyetaka kuchoma ikulu na binge?
Ni nani aliyeanza kuchoma vituo vya polisi?
Ni nani aliyetaka kuchoma relief ya kisasa ya SGR?
Yani ukitazama watanzania waliuwawa inatia huzuni mzito sana na majozi yasiyoelezeka kwa ndugu na hata Taifa
Huyu jamaa kwenye picha Alikuwa anaishi Kimara Korogwe , Askari alimfuata na kumpiga risasi tumboni utumbo ukatoka nje, alipoinama akishika tumbo kwa maumivu akaongezwa risasi matakoni.
Chanzo kutoka kw Twaha Mwaipaya
Lipate ajari life mkuuuwe mbwa kama we ni keybody warior shauri yako, ina maana haujanielewa niliposema huyo mmama alikuwa amesimama kibarazani? Kwani polisiccm si angetulenga sisi? Au we ni mmoja wa polisiccm sasa unataka kuonesha kwamba sisi ndo wakulaumiwa? Mbwa wewe.
hayo yametokea baada ya wananchi kujiongoza wenyewe! Nahisi serikali imeona umuhimu wa TUNDU LISU! We unadhani kwanini RUTO hakumkamata RAILA ODINGA licha ya kuelewa fika kuwa anachochea maandamano? Alijua umuhimu wa kuwa na kiongozi kwenye maandamano!Narudia tena na swali kati ya polisi na waandamanaji nani alianza kuua kundi linguine wa kwanza?
Ni nani aliyeanza kuua waliopiga kura?
Ni nani aliyechoma vituo vya kupigia kura?
Ni nani waliouwa askari kwa kuwachomea ndani ya magari?
Ni nani aliyekata vidole vya waliopiga kura?
Ni nani aliyechoma sheli za watu wasiohusika?
Ni nani aliyetaka kuchoma ikulu na binge?
Ni nani aliyeanza kuchoma vituo vya polisi?
Ni nani aliyetaka kuchoma relief ya kisasa ya SGR?
Umejaa kiburi kama cha MAMA yako SAMIA.Umejaza dharau kwa watanzania kama mama yako.Wahalifu hao, watu wanachoma moto, wanaiba, na kuvuruga amani!
Nani aliyeanza kuteka wenzie?Ukiweza jibu hivyo viswali kwanza