GE2025 Huyu jamaa Askari alimfuata na kumpiga risasi tumboni utumbo ukatoka nje

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Narudia tena na swali kati ya polisi na waandamanaji nani alianza kuua kundi linguine wa kwanza?
Ni nani aliyeanza kuua waliopiga kura?
Ni nani aliyechoma vituo vya kupigia kura?
Ni nani waliouwa askari kwa kuwachomea ndani ya magari?
Ni nani aliyekata vidole vya waliopiga kura?
Ni nani aliyechoma sheli za watu wasiohusika?
Ni nani aliyetaka kuchoma ikulu na binge?
Ni nani aliyeanza kuchoma vituo vya polisi?
Ni nani aliyetaka kuchoma relief ya kisasa ya SGR?
Huko tunakoelekea kila anayejifanya kachanganyikiwa atapata akili bila ya kufika Mirembe. Kila anayejifanya ana hasira atajua ustaarabu maana yake nini, hata bila ya kubembelezwa na Viongozi wa dini wala wa kisiasa.
 
Narudia tena na swali kati ya polisi na waandamanaji nani alianza kuua kundi linguine wa kwanza?
Ni nani aliyeanza kuua waliopiga kura?
Ni nani aliyechoma vituo vya kupigia kura?
Ni nani waliouwa askari kwa kuwachomea ndani ya magari?
Ni nani aliyekata vidole vya waliopiga kura?
Ni nani aliyechoma sheli za watu wasiohusika?
Ni nani aliyetaka kuchoma ikulu na binge?
Ni nani aliyeanza kuchoma vituo vya polisi?
Ni nani aliyetaka kuchoma relief ya kisasa ya SGR?
Hayo maswali peleka kwa mumeo
 
Back
Top Bottom