GE2025 Huyu jamaa Askari alimfuata na kumpiga risasi tumboni utumbo ukatoka nje

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Polisi wameanza kuua na kupoteza watu kabla ya maandamano.Mfano yule kijana wa Mtwara alipigwa sindano ya sumu na polisi kwenye maandamano?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Video iko wapi?
 
Wahalifu hao, watu wanachoma moto, wanaiba, na kuvuruga amani!
Mmeteka mmeua, mmeiba uchaguzi, mmefungia wapinzani kwa kuwazushia kesi fake, mmevunja kila sheria ya nchi kubaki madarakani, sasa watu wakiandamana mnawaita wahalifu na wavuruga amani, mapambano ndio yameanza FYI
 
Bila shaka yoyote, Wewe utakuwa policcm.
Hayo maswali kamuulize Samuya.

Uliyoorodhesha hapo mbona hayajawahi kutokea hapa nchini kwenye utawala mwingine wowote katika historia ya nchi yetu, kwaniniyatokee sasa kwenye utawala wake!?
 

Kwa hili lishetani tulilonalo, nothing surprises me anymore.
 
hayo yametokea baada ya wananchi kujiongoza wenyewe! Nahisi serikali imeona umuhimu wa TUNDU LISU! We unadhani kwanini RUTO hakumkamata RAILA ODINGA licha ya kuelewa fika kuwa anachochea maandamano? Alijua umuhimu wa kuwa na kiongozi kwenye maandamano!
 
Sawa kama ni hivyo. kwahiyo polisi sio binadamu kiasi kwamba wao kufa ilikuwa ni sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…