J.M Kikwete alikuwa na mapungufu yake just like all other human beings lakini hakuwa:-Nina mua-admire jamaa kichizi. Hakuna wa kumfananisha nae.
mmhhhhh
huyu jamaa alikuwa anapata wapi pesa?
unaushaidi?Makontena yasiyolipiwa ushuru ya HOME SHOPPING CENTRE!!!
unaushaidi
mkuu tutakuweka ndani,,oooh chunga sanaJ.M Kikwete alikuwa na mapungufu yake just like all other human beings lakini hakuwa:-
-Mwenye roho mbaya
-Mshamba
-Dikteta
-Asiyepokea ushauri hata unaosaidia.
-Hakuwa mbaguzi
β Usimfananishe na mwenye sifa hizo hapo juu.
Raisi wa kimataifaJ.M Kikwete alikuwa na mapungufu yake just like all other human beings lakini hakuwa:-
-Mwenye roho mbaya
-Mshamba
-Dikteta
-Asiyepokea ushauri hata unaosaidia.
-Hakuwa mbaguzi
β Usimfananishe na mwenye sifa hizo hapo juu.
ha ha ha,anamaanisha pesa za kuendeshea nchi,Makontena yasiyolipiwa ushuru ya HOME SHOPPING CENTRE!!!
Huu mguno unaashiria mawazo yako yaleeeeemmhhhhh
yapiiii wewe Yamakagashi! hebu kuwa wazi hahahaahHuu mguno unaashiria mawazo yako yaleeeee
Teh teh tehJ.M Kikwete alikuwa na mapungufu yake just like all other human beings lakini hakuwa:-
-Mwenye roho mbaya
-Mshamba
-Dikteta
-Asiyepokea ushauri hata unaosaidia.
-Hakuwa mbaguzi
β Usimfananishe na mwenye sifa hizo hapo juu.