Huyu jamaa Bwana, yuko happy kama kawa

Huyu jamaa Bwana, yuko happy kama kawa

Alikuwa lazy tu, watu wanaiba kama nchi haina kiongozi. Bora alivyoondoka yaani angekaa miaka mingine 10 angeacha nchi imebaki mifupa mitupu.
 
Nchi ingekuwa imenyooka kwa kupitisha ile katiba tuliyoitaka hivi sasa huyu bwana angekuwa anachunguzwa kwa kuhujumu uchumi kutokana na uhusiano wa kibiashara wa familia yake na HOME SHOPPING CENTRE/ GS...!! Amehujumu sana uchumi wetu na because of his immunity from prosecution, Mungu atamuadhibu haha hapa duniani!!
 
huyu jamaa alikuwa anapata wapi pesa?

swissme
 
unaushaidi

Waulize wafanyakazi wa longroom TRA ; wakina Masamaki!! Unakumbuka Mwakyembe aliwahi kukamata makontena ya HSC wakati fulani akasema hayawezi kuachiwa bila kulipa ushuru; muulize amri ilitoka wapi mpaka akafiata mkia na makontena yakatolewa!!!
 
J.M Kikwete alikuwa na mapungufu yake just like all other human beings lakini hakuwa:-

-Mwenye roho mbaya

-Mshamba

-Dikteta

-Asiyepokea ushauri hata unaosaidia.

-Hakuwa mbaguzi

◆ Usimfananishe na mwenye sifa hizo hapo juu.
mkuu tutakuweka ndani,,oooh chunga sana
 
J.M Kikwete alikuwa na mapungufu yake just like all other human beings lakini hakuwa:-

-Mwenye roho mbaya

-Mshamba

-Dikteta

-Asiyepokea ushauri hata unaosaidia.

-Hakuwa mbaguzi

◆ Usimfananishe na mwenye sifa hizo hapo juu.
Raisi wa kimataifa
 
Teh teh teh
Mnakaa katika round table, mnajadiliana, unawapa watu majukumu yako. Kisha unawatembelea wenye akili. Jk Kiboko
 
Back
Top Bottom