Nimejikuta napata swali Mkuu....J.M Kikwete alikuwa na mapungufu yake just like all other human beings lakini hakuwa:-
-Mwenye roho mbaya
-Mshamba
-Dikteta
-Asiyepokea ushauri hata unaosaidia.
-Hakuwa mbaguzi
◆ Usimfananishe na mwenye sifa hizo hapo juu.
hakuna kitu ban ziko nje nje (bold)Funguka, Jf is w'ere we dare to talk freely😉😉😉😉😉
Ile ni mikakati ya kupeleka pesa mitaani. Nchi haina sehemu za ajira za kutosha. so it was a strategy ya kufanya watu wafurahie kuwa Tanzania. Angalia alishindwa wapi? alikusanya kodi na mambo yake yalienda kama kawaida.Alikuwa lazy tu, watu wanaiba kama nchi haina kiongozi. Bora alivyoondoka yaani angekaa miaka mingine 10 angeacha nchi imebaki mifupa mitupu.
Ila jamaa kweli mshamba tatizo kabila (MIE MTANI WANGU MSIIGE)J.M Kikwete alikuwa na mapungufu yake just like all other human beings lakini hakuwa:-
-Mwenye roho mbaya
-Mshamba
-Dikteta
-Asiyepokea ushauri hata unaosaidia.
-Hakuwa mbaguzi
◆ Usimfananishe na mwenye sifa hizo hapo juu.
Alikuwa lazy tu, watu wanaiba kama nchi haina kiongozi. Bora alivyoondoka yaani angekaa miaka mingine 10 angeacha nchi imebaki mifupa mitupu.
Makontena yasiyolipiwa ushuru ya HOME SHOPPING CENTRE!!!
Chama kubwa kilikuwa kinapata pesa toka kwao kwa ajili ya kueendesha shughuri za chama.Sasa hivi Chama Kubwa hoi.Kamata kamati yote ya Makontena na Wakwepa Kodi Nchi nzima umeskia HSC kaguswa?
Akili ya kuwaza kila anaefanikiwa kwa haraka ni Mwizi ndio anazo 'Mchumi Nguli' Duniani JPM na ndio inayokondesha Nchi kwa sasa!
I second that...... Team Libranashare nae birthday , october 7 , kwa kifupi Libra wengi tuko hivyo , believe me or not
Huyu mzee safi sana bwana,huyu mzee Mzungu,hakuwa na tabia ya kumind vitu vidogovidogo,alikuwa anawaamini watendaji wake wa chini,hakuwa MTU wa kuhukumu kwa umbea ndo maana alikuwa anapenda kuunda tume,mpaka tukalalamika tume zimezidi ila madhara ya kinyume chake tunayaona sasa,mtumishi unafukuzwa kazi au kulazwa polisi na mkuu wa mkoa kisa mtu mwenye bifu na ww kaja kusema umbea kwenye mkutano,,mzee hakuona kwa dunia ya sasa kwenda nje ni anasa ndo maana aliwapa exposure wafanyakazi wake,watu watoke waone dunia inakwendaje,na hakutaka kufanya kila kitu,aliamini kuna watu amewateua watatenda siyo kila siku bandarini na TRA utadhani hakuna waziri wa fedha ....,,
Nae ni Libra........ na mie nakubalina kwakweliDogo wangu ni wa October 1st, sijui kama na yeye yuko Libra au lah. Ila ni smiling boy muda wote.
Teh kama yule rasi dereva wa bajaj na bwana mkubwa mmoja hiviyapiiii wewe Yamakagashi! hebu kuwa wazi hahahaah
hahahahahhahh kwamba dume alikuwa ni yupi kati ya "mnyapaa" na rasi wa bajaji ahahahahahahahahahTeh kama yule rasi sijui dereva wa bajaj na bwana mkubwa mmoja hivi
Ile ni mikakati ya kupeleka pesa mitaani. Nchi haina sehemu za ajira za kutosha. so it was a strategy ya kufanya watu wafurahie kuwa Tanzania. Angalia alishindwa wapi? alikusanya kodi na mambo yake yalienda kama kawaida.