Huyu jamaa Bwana, yuko happy kama kawa

Huyu jamaa Bwana, yuko happy kama kawa

Mungu amemjaalia moyo wakitajiri, roho mbaya hana.
Inategemeana na malezi na mazingira. Unategemea nini ukiongozwa na mtoto ambaye amekulia uwanja wa vita na kwenye shida. Kumbuka yule wa ile movie ya Blood Diamond
 
J.M Kikwete alikuwa na mapungufu yake just like all other human beings lakini hakuwa:-

-Mwenye roho mbaya

-Mshamba

-Dikteta

-Asiyepokea ushauri hata unaosaidia.

-Hakuwa mbaguzi

◆ Usimfananishe na mwenye sifa hizo hapo juu.
Nimejikuta napata swali Mkuu....
Kwani huyu wa sasa ndie mwenye sifa zinazo shabihiana na hizo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alikuwa lazy tu, watu wanaiba kama nchi haina kiongozi. Bora alivyoondoka yaani angekaa miaka mingine 10 angeacha nchi imebaki mifupa mitupu.
Ile ni mikakati ya kupeleka pesa mitaani. Nchi haina sehemu za ajira za kutosha. so it was a strategy ya kufanya watu wafurahie kuwa Tanzania. Angalia alishindwa wapi? alikusanya kodi na mambo yake yalienda kama kawaida.
 
Makontena yasiyolipiwa ushuru ya HOME SHOPPING CENTRE!!!
Vipi kuhusu ile boat ya kwenda Ununio na Bagaroho, nani alihusika kuinunua? Iko wapi sasa hivi na yeye yuko sasa hivi?
Kama jamaa angekuwa mkali unafikiri ingekuwaje?
 
J.M Kikwete alikuwa na mapungufu yake just like all other human beings lakini hakuwa:-

-Mwenye roho mbaya

-Mshamba

-Dikteta

-Asiyepokea ushauri hata unaosaidia.

-Hakuwa mbaguzi

◆ Usimfananishe na mwenye sifa hizo hapo juu.
Ila jamaa kweli mshamba tatizo kabila (MIE MTANI WANGU MSIIGE)
 
yupo vizuri.huyu mwingine ana roho visasi na chuki itakuwa ngumu sana kufanikiwa
 
Alikuwa lazy tu, watu wanaiba kama nchi haina kiongozi. Bora alivyoondoka yaani angekaa miaka mingine 10 angeacha nchi imebaki mifupa mitupu.

Sasa hivi hata cha kuibwa hakuna cha kujenga Nchi hakuna!
 
Huyu mzee safi sana bwana,huyu mzee Mzungu,hakuwa na tabia ya kumind vitu vidogovidogo,alikuwa anawaamini watendaji wake wa chini,hakuwa MTU wa kuhukumu kwa umbea ndo maana alikuwa anapenda kuunda tume,mpaka tukalalamika tume zimezidi ila madhara ya kinyume chake tunayaona sasa,mtumishi unafukuzwa kazi au kulazwa polisi na mkuu wa mkoa kisa mtu mwenye bifu na ww kaja kusema umbea kwenye mkutano,,mzee hakuona kwa dunia ya sasa kwenda nje ni anasa ndo maana aliwapa exposure wafanyakazi wake,watu watoke waone dunia inakwendaje,na hakutaka kufanya kila kitu,aliamini kuna watu amewateua watatenda siyo kila siku bandarini na TRA utadhani hakuna waziri wa fedha ....,,
 
Makontena yasiyolipiwa ushuru ya HOME SHOPPING CENTRE!!!

Kamata kamati yote ya Makontena na Wakwepa Kodi Nchi nzima umeskia HSC kaguswa?

Akili ya kuwaza kila anaefanikiwa kwa haraka ni Mwizi ndio anazo 'Mchumi Nguli' Duniani JPM na ndio inayokondesha Nchi kwa sasa!
 
Chama kubwa kilikuwa kinapata pesa toka kwao kwa ajili ya kueendesha shughuri za chama.Sasa hivi Chama Kubwa hoi.
 
Huyu mzee safi sana bwana,huyu mzee Mzungu,hakuwa na tabia ya kumind vitu vidogovidogo,alikuwa anawaamini watendaji wake wa chini,hakuwa MTU wa kuhukumu kwa umbea ndo maana alikuwa anapenda kuunda tume,mpaka tukalalamika tume zimezidi ila madhara ya kinyume chake tunayaona sasa,mtumishi unafukuzwa kazi au kulazwa polisi na mkuu wa mkoa kisa mtu mwenye bifu na ww kaja kusema umbea kwenye mkutano,,mzee hakuona kwa dunia ya sasa kwenda nje ni anasa ndo maana aliwapa exposure wafanyakazi wake,watu watoke waone dunia inakwendaje,na hakutaka kufanya kila kitu,aliamini kuna watu amewateua watatenda siyo kila siku bandarini na TRA utadhani hakuna waziri wa fedha ....,,

Party la kufa Mtu Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru 2011 mpaka Madada Poa walikuwa Ikulu ku konyagika Bure!

JK alikuwa Mtoto wa Chief na Babake alikuwa DC shida shida za Njaa alikuwa anaisoma kwny Makaratasi lakin huyu wa sasa mhhhh!
 
Ile ni mikakati ya kupeleka pesa mitaani. Nchi haina sehemu za ajira za kutosha. so it was a strategy ya kufanya watu wafurahie kuwa Tanzania. Angalia alishindwa wapi? alikusanya kodi na mambo yake yalienda kama kawaida.

Bilioni walizoiba wakina Tibaijuika ni za walipa kodi sasa kawaida iko wapi hapo? Sasa kwa mfano hela zote za ESCROW na mikataba feki ni vipi itawafanya watu wafurahie Tanzania?
 
Back
Top Bottom