Huyu Jamaa hazeeki miaka Sasa yupo vile vile

Mtu Kwao

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Posts
394
Reaction score
720
Anaitwa Single mtambalike. Nimeenza kumuona Tangu miaka ya 99 huko lakin mpaka Leo muonekano wake upo vile vile..
Asee Kaka rich emu njo utupe Siri ya kutokuzeeka au wewe. Ni clone
Screenshot_20240418-121053.png
 
Kwani uzee ni mvi?.
Umeona mvi tu. Suala la mvi limekuja baadae baada ya kusema kazeeka

Kuna mvi za "ukoo au kinasaba" hizo hazina mjadala, lakini Kuna mvi zitokanazo na uzee.

Kwa Ivo wapo watu wana miaka 60 na hawana mvi nyingi na wapo wenye miaka 50 wana mvi nyingi.

Sasa wazee wengi hutumia madawa ya kuzitia weusi nywele zao Ili wasioneoane wazee.

Baby feeding for trivial things like this, is disgusting!
 
Kwao ni kujidanganya kiakili na moyo, uzee haujivichi hata unyoe para.
 
Back
Top Bottom