Huyu Jamaa hazeeki miaka Sasa yupo vile vile

Huyu Jamaa hazeeki miaka Sasa yupo vile vile

ni diwani siku hizi huyu jamaa.

Mimi watu maarufu nilioona hawazeeki mfano ni Maulidi Kitenge, Mwana-FA, Daniel Kijo, Khadija Mwanamboka, Ray Kigosi na Sugu. Kwasababu pia ni watu wa mazoezi.
eti ray kigosi ni mtu wa mazoezi.....!
 
ni diwani siku hizi huyu jamaa.

Mimi watu maarufu nilioona hawazeeki mfano ni Maulidi Kitenge, Mwana-FA, Daniel Kijo, Khadija Mwanamboka, Ray Kigosi na Sugu. Kwasababu pia ni watu wa mazoezi.
Nilichogundua umri wako ni mdogo, hawa unawataja ni sawa kuwa walivyo.

Wengine mnaanza kuwaona wakiwa wadogo, so kumjua mtu kitambo haimaanishi kuwa ni wakubwa
 
Kuzeeka kupo, ila kuna wanaozeeka taratibu na wanaozeeka haraka bila kujali umri wao. Huko marekani kuna watoto walizaliwa wanaonekana ni wazee, ilikuwa wa kiume na wa kike. Sijui waliishia wapi hao watoto
 
Vijana wa siku hizi huzeeka mapema sana chini ya miaka 40 tayari kachoka
 
Kuzeeka ni Nini??

Jamaa ukikutana naye uso kwa uso uzee upo dhahiri shayiri!!

Kazeeka. Kama Mzee wa Msoga kaacha kupaka na yeye akiacha mvi zake zitaonekana.

Team Kassim.

Kabisa ,mimi nakutana nae sana ,jamaa ni mtu mzima na ana mvi kibao tu ila kwenye movie wanapaka masuper black ,wanafanya mascrub wanaedit color unamuona kama "JANKI".
 
Siri ya kutozeeeka na kukunjamana uso ni ACHA POMBE, ACHA SIGARA, JIEPUSHE NA STRESS, FANYA MAZOEZI!
 
Back
Top Bottom