Nadhani Sisi waTanzania tuna mitazamo hasi sana juu ya uzee........watu wanaoitwa wazee wala hawana sifa ya uzee........
Mtu wa miaka chini 60 akianza kukongoroka na kuchakaa sio kwa sababu ya uzee bali ni mfumo mbaya wa maisha........
Mwili unatunzwa kwa vyakula Bora na mazoezi mepesi mepesi........
Mimi kuna mabroo mimi nazaliwa nawakuta wana maisha yao lakini mpaka leo wanadunda na ukiambiwa hudhanii miaka yao........
Watanzania wengi wanazeeshwa na mitindo mibaya ya maisha pamoja na kutofanya mazoezi.........
Mazoezi mpaka Harambee za kiofisi au msimu......
Huyu jamaa ana miaka zaidi ya 60 lakini bado ana mwili mzuri....... waTanzania wengi umri huo wamebeba vitambi na nyama za kutosha mwilini......
Na
View attachment 2967740