binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kati ya hao ambaye haonekani kuzeeka mi naona ni Daniel Kijo na Khadija, tu wengine mbona wanaonekana live kabisa. Kama sugu we humuoni? Kitenge nae huoni alivyokongoroka?ni diwani siku hizi huyu jamaa.
Mimi watu maarufu nilioona hawazeeki mfano ni Maulidi Kitenge, Mwana-FA, Daniel Kijo, Khadija Mwanamboka, Ray Kigosi na Sugu. Kwasababu pia ni watu wa mazoezi.
Mbona wazee hao mkuuni diwani siku hizi huyu jamaa.
Mimi watu maarufu nilioona hawazeeki mfano ni Maulidi Kitenge, Mwana-FA, Daniel Kijo, Khadija Mwanamboka, Ray Kigosi na Sugu. Kwasababu pia ni watu wa mazoezi.
😂😂😂 kweli!Lini uliwahi kumuona huyu Mzee ni kijana?[emoji1787][emoji1787]View attachment 2967253
Ndiyo kwanza namsikia na kumuonaAnaitwa Single mtambalike. Nimeenza kumuona Tangu miaka ya 99 huko lakin mpaka Leo muonekano wake upo vile vile..
Asee Kaka rich emu njo utupe Siri ya kutokuzeeka au wewe. Ni clone
View attachment 2967167
Nili wahi kumuona manzese pale kwenye mwendo Kasi, ana maneno huyo😂😂😂😂😂 kweli!
MToto mdogo😆Mlete TID
Kusalimiwa ni jambo la heri linapunguza kuzeeka pia wengi hawafahamuHakuna namna... Shikamoo wakati mwingine zinakera..,🤣🤣👋
Yupogo Sana mwembe bamia near chamazi stadium, mbande.Mi tangu nikiwa mtoto Muhogo Mchungu nilianza kumuona hivyo hivyo mzee hadi leo yuko vile vile , sijui kama kuna mtu aliwahi kumshuhudia muhogo mchungu akiwa kijana
Umeeleza vizuri sana. Wengi wetu hatuna elimu juu ya lishe.Nadhani Sisi waTanzania tuna mitazamo hasi sana juu ya uzee........watu wanaoitwa wazee wala hawana sifa ya uzee........
Mtu wa miaka chini 60 akianza kukongoroka na kuchakaa sio kwa sababu ya uzee bali ni mfumo mbaya wa maisha........
Mwili unatunzwa kwa vyakula Bora na mazoezi mepesi mepesi........
Mimi kuna mabroo mimi nazaliwa nawakuta wana maisha yao lakini mpaka leo wanadunda na ukiambiwa hudhanii miaka yao........
Watanzania wengi wanazeeshwa na mitindo mibaya ya maisha pamoja na kutofanya mazoezi.........
Mazoezi mpaka Harambee za kiofisi au msimu......
Huyu jamaa ana miaka zaidi ya 60 lakini bado ana mwili mzuri....... waTanzania wengi umri huo wamebeba vitambi na nyama za kutosha mwilini......
NaView attachment 2967740
Sijawahi 😂Lini uliwahi kumuona huyu Mzee ni kijana?[emoji1787][emoji1787]View attachment 2967253
Sijui anataka mic iwekweje huyu dingi. Haaa haaaaMToto mdogo😆
Majariwa❌ Majaliwa✔️Mimi mwenyewe TEAM majariwa😊
Asante Sana mzee kifimbo cheza na wachafuzi wa lugha😊😊Majariwa❌ Majaliwa✔️
Yani star afu nae anapanda mwendokasi?Nili wahi kumuona manzese pale kwenye mwendo Kasi, ana maneno huyo😂😂
ukute unamiaka 28ni diwani siku hizi huyu jamaa.
Mimi watu maarufu nilioona hawazeeki mfano ni Maulidi Kitenge, Mwana-FA, Daniel Kijo, Khadija Mwanamboka, Ray Kigosi na Sugu. Kwasababu pia ni watu wa mazoezi.