whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,161
- 2,454
eti ray kigosi ni mtu wa mazoezi.....!ni diwani siku hizi huyu jamaa.
Mimi watu maarufu nilioona hawazeeki mfano ni Maulidi Kitenge, Mwana-FA, Daniel Kijo, Khadija Mwanamboka, Ray Kigosi na Sugu. Kwasababu pia ni watu wa mazoezi.
Nilichogundua umri wako ni mdogo, hawa unawataja ni sawa kuwa walivyo.ni diwani siku hizi huyu jamaa.
Mimi watu maarufu nilioona hawazeeki mfano ni Maulidi Kitenge, Mwana-FA, Daniel Kijo, Khadija Mwanamboka, Ray Kigosi na Sugu. Kwasababu pia ni watu wa mazoezi.
mr nice pombe zimemzeesha harakaMlete TID
Huyu ni kama Morgan Freeman hajawahi kuwa kijana.Lini uliwahi kumuona huyu Mzee ni kijana?[emoji1787][emoji1787]View attachment 2967253
Uli taka apande bomu au??Yani star afu nae anapanda mwendokasi?
Ongezea team mboweKuzeeka ni Nini??
Jamaa ukikutana naye uso kwa uso uzee upo dhahiri shayiri!!
Kazeeka. Kama Mzee wa Msoga kaacha kupaka na yeye akiacha mvi zake zitaonekana.
Team Kassim.
😜😜👋Ongezea team mbowe
Huna tofauti na Mwasiti mawigiMimi mwenyewe TEAM majariwa😊
Haaahaa 😊😅 uzee mwisho CHALINZEHuna tofauti na Mwasiti mawigi
Kuzeeka ni Nini??
Jamaa ukikutana naye uso kwa uso uzee upo dhahiri shayiri!!
Kazeeka. Kama Mzee wa Msoga kaacha kupaka na yeye akiacha mvi zake zitaonekana.
Team Kassim.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ndio maana halisi ya muhogo mchunguLini uliwahi kumuona huyu Mzee ni kijana?[emoji1787][emoji1787]View attachment 2967253