Huyu jamaa hii kesi nimemshinda mapema tu Asubuhi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Jamaa yangu ameenda nishtak kuwa nmemtapeli tsh mil 15. Yaani jamaa hapo tu nishamshinda. Hiyo pesa alinipa tuagize mzigo flani Congo. Tuliyempa hajaonekana na simu haipatikani.

Kesi yangu imesomwa mi sikuwepo ila mwanasheria wangu kaja kunambia mashtaka yalivyo. Nmempa mwanasheria pesa yake. Nimemwambia aniachie mimi namaliza kesi mwenyewe yeye aendelee na kesi nyingine. Nmeshajipanga maswali ya kumuuliza mshtaki wangu.

Mimi: hiyo pesa ulinipa ilikuwa tsh ngapi?

Yeye: ilikuwa tsh mil 15

Mimi: uongo,ilikuwa tsh mil 14,950,000. Siku nimekuja kuonana nawe nlivaa shati rangi gani?

Yeye: sikumbuki ulivaa shati rangi gani.

Mimi: sikuvaa shati nlivaa tshirt. Je tuliandikishana popote hayo makabidhiano?

Yeye: hatukuandikishana.

Mimi: kwa hiyo uliniamini?

Yeye: ndiyo.

Mimi: sasa kwa nini hutaki endelea kuniamini kuwa ntakupatia hiyo pesa?ipo wapi imani yako sasa?

Yeye: siwezi kukuamini kwa sababu muda umeenda

Mimi: uongo muda haujaenda kihivyo sema tu una gubu na wivu na mimi ukiona naendelea kimaisha.

Mpaka hapa hakimu atajua jamaa ni chuki tu na wivu ndo unamfanya awe hivyo. Nadhani hapa namshinda mapema tu asubuhi kabla hata watu chai haijaisha tumboni. Nimeona mwanasheria hana kazi hapo. Hii game namaliza mwenyewe kibishi.
 
Achana kabisa na ishu za mahakamani mkuu, kuna mashahidi feki, rushwa, connections, visasi n.k,...wapo watu wanapigania haki zao huko na ushahidi upo ila wanaonekana vituko tu na wengine hufungwa wao.

Kuwa makini
 
nimeogopa
 
Jamaa yangu ameenda nishtak kuwa nmemtapeli tsh mil 15. Yaani jamaa hapo tu nishamshinda. Hiyo pesa alinipa tuagize mzigo flani Congo. Tuliyempa hajaonekana na simu haipatikani.

Kesi yangu imesomwa mi sikuwepo ila mwanasheria wangu kaja kunambia mashtaka yalivyo. Nmempa mwanasheria pesa yake.nmemwambia aniachie mimi namaliza kesi mwenyewe yeye aendelee na kesi nyingine. Nmeshajipanga maswali ya kumuuliza mshtaki wangu.

Mimi: hiyo pesa ulinipa ilikuwa tsh ngapi?

Yeye: ilikuwa tsh mil 15

Mimi: uongo,ilikuwa tsh mil 14,950,000. Siku nimekuja kuonana nawe nlivaa shati rangi gani?

Yeye: sikumbuki ulivaa shati rangi gani.

Mimi: sikuvaa shati nlivaa tshirt. Je tuliandikishana popote hayo makabidhiano?

Yeye: hatukuandikishana.

Mimi: kwa hiyo uliniamini?

Yeye: ndiyo.

Mimi: sasa kwa nini hutaki endelea kuniamini kuwa ntakupatia hiyo pesa?ipo wapi imani yako sasa?

Yeye: siwezi kukuamini kwa sababu muda umeenda

Mimi: uongo muda haujaenda kihivyo sema tu una gubu na wivu na mimi ukiona naendelea kimaisha.

Mpaka hapa hakimu atajua jamaa ni chuki tu na wivu ndo unamfanya awe hivyo. Nadhani hapa namshinda mapema tu asubuhi kabla hata watu chai haijaisha tumboni. Nimeona mwanasheria hana kazi hapo. Hii game namaliza mwenyewe kibishi.
Yaani mwizi anabisha dirisha alilotajiwa kupitia na kuiba. Kwamba hakupita hilo, bali alipitia lile lingine.
Kikubwa aliingia ndani na kuiba haijalishi alipitia dirisha lipi. Mvua kadhaa alikula.
 
..... code ...
 
Kwa akili hizo na maelezo yako tyr umeshashindwa kesi kabisa.

Inaonesha hujawahi kuwa na kesi mahakamani, mambo si rahisi kama unavyowaza.
Pia mlalamikaji ana asilimia 80 ya kushinda kuliko mlalamikiwa.
 
Uaddict wako wa kwenye blacklist kujifanya raymond reddington utakuja kufungwa,muache wakili wako aendelee na hiyo kesi,acha kujidanganya
Ila tuache utani, Raymond alikuwa mkali. Jamaa hakuna chocho asiyoijua, hakuna tapeli asiyemjua, Ni mwanasheria, anawajua ma hackers wasiojulikana.
 
Yaani mwizi anabisha dirisha alilotajiwa kupitia na kuiba. Kwamba hakupita hilo, bali alipitia lile lingine.
Kikubwa aliingia ndani na kuiba haijalishi alipitia dirisha lipi. Mvua kadhaa alikula.
Hivi amekuelewa kweli huyu msanii?
 
Back
Top Bottom