Huyu jamaa hii kesi nimemshinda mapema tu Asubuhi

Jamaa yangu ameenda nishtak kuwa nmemtapeli tsh mil 15. Yaani jamaa hapo tu nishamshinda. Hiyo pesa alinipa tuagize mzigo flani Congo. Tuliyempa hajaonekana na simu haipatikani.

Kesi yangu imesomwa mi sikuwepo ila mwanasheria wangu kaja kunambia mashtaka yalivyo. Nmempa mwanasheria pesa yake.nmemwambia aniachie mimi namaliza kesi mwenyewe yeye aendelee na kesi nyingine. Nmeshajipanga maswali ya kumuuliza mshtaki wangu.

Mimi: hiyo pesa ulinipa ilikuwa tsh ngapi?

Yeye: ilikuwa tsh mil 15

Mimi: uongo,ilikuwa tsh mil 14,950,000. Siku nimekuja kuonana nawe nlivaa shati rangi gani?

Yeye: sikumbuki ulivaa shati rangi gani.

Mimi: sikuvaa shati nlivaa tshirt. Je tuliandikishana popote hayo makabidhiano?

Yeye: hatukuandikishana.

Mimi: kwa hiyo uliniamini?

Yeye: ndiyo.

Mimi: sasa kwa nini hutaki endelea kuniamini kuwa ntakupatia hiyo pesa?ipo wapi imani yako sasa?

Yeye: siwezi kukuamini kwa sababu muda umeenda

Mimi: uongo muda haujaenda kihivyo sema tu una gubu na wivu na mimi ukiona naendelea kimaisha.

Mpaka hapa hakimu atajua jamaa ni chuki tu na wivu ndo unamfanya awe hivyo. Nadhani hapa namshinda mapema tu asubuhi kabla hata watu chai haijaisha tumboni. Nimeona mwanasheria hana kazi hapo. Hii game namaliza mwenyewe kibishi.
Illusion
 
Mkuu samahanini Niko njiani kutokea congo narudisha hela yenu
 
Mkuu umeongea maneno mengi lakini ukweli ni kwamba hela ya rafiki yako ipo kwako, rudisha hiyo hela mambo yaishe.
 
Nenda tu kaongeee huo upuuzi, manyampala yanakungoja kwa hamu kule jela.
 
Back
Top Bottom