Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Sio tulipe deni la taifa🤣🤣 tuuzeni nchi tugawane hela tu
Lipeni ila kabla hamjalipa nipeni changu mi sikukopa!Sio tulipe deni la taifa
nimeogopaAchana kabisa na ishu za mahakamani mkuu, kuna mashahidi feki, rushwa, connections, visasi n.k,...wapo watu wanapigania haki zao huko na ushahidi upo ila wanaonekana vituko tu na wengine hufungwa wao.
Kuwa makini
Hii game namaliza mwenyewe bila shida kabisa.... Jamaa ameshajaa kwenye rada.Uaddict wako wa kwenye blacklist kujifanya raymond reddington utakuja kufungwa,muache wakili wako aendelee na hiyo kesi,acha kujidanganya
Kula ndugu yangu utapata ulcers.Nimepatwa na njaa ya ghafla.
Naskia mda huu kila mtz anadaiwa 1MLipeni ila kabla hamjalipa nipeni changu mi sikukopa!
Kabis bob...hii kesi cha mtoto sana.nina maswali mengi ambayo najua atashindwa yajibu.Mkuu unakuwa wakili mwenyewe.
Yaani mwizi anabisha dirisha alilotajiwa kupitia na kuiba. Kwamba hakupita hilo, bali alipitia lile lingine.Jamaa yangu ameenda nishtak kuwa nmemtapeli tsh mil 15. Yaani jamaa hapo tu nishamshinda. Hiyo pesa alinipa tuagize mzigo flani Congo. Tuliyempa hajaonekana na simu haipatikani.
Kesi yangu imesomwa mi sikuwepo ila mwanasheria wangu kaja kunambia mashtaka yalivyo. Nmempa mwanasheria pesa yake.nmemwambia aniachie mimi namaliza kesi mwenyewe yeye aendelee na kesi nyingine. Nmeshajipanga maswali ya kumuuliza mshtaki wangu.
Mimi: hiyo pesa ulinipa ilikuwa tsh ngapi?
Yeye: ilikuwa tsh mil 15
Mimi: uongo,ilikuwa tsh mil 14,950,000. Siku nimekuja kuonana nawe nlivaa shati rangi gani?
Yeye: sikumbuki ulivaa shati rangi gani.
Mimi: sikuvaa shati nlivaa tshirt. Je tuliandikishana popote hayo makabidhiano?
Yeye: hatukuandikishana.
Mimi: kwa hiyo uliniamini?
Yeye: ndiyo.
Mimi: sasa kwa nini hutaki endelea kuniamini kuwa ntakupatia hiyo pesa?ipo wapi imani yako sasa?
Yeye: siwezi kukuamini kwa sababu muda umeenda
Mimi: uongo muda haujaenda kihivyo sema tu una gubu na wivu na mimi ukiona naendelea kimaisha.
Mpaka hapa hakimu atajua jamaa ni chuki tu na wivu ndo unamfanya awe hivyo. Nadhani hapa namshinda mapema tu asubuhi kabla hata watu chai haijaisha tumboni. Nimeona mwanasheria hana kazi hapo. Hii game namaliza mwenyewe kibishi.
Labda u-deal na aliyetokomea na pesa kwa ujuzi uliopata kwa wale wagangaHii game namaliza mwenyewe bila shida kabisa.... Jamaa ameshajaa kwenye rada.
..... code ...Jamaa yangu ameenda nishtak kuwa nmemtapeli tsh mil 15. Yaani jamaa hapo tu nishamshinda. Hiyo pesa alinipa tuagize mzigo flani Congo. Tuliyempa hajaonekana na simu haipatikani.
Kesi yangu imesomwa mi sikuwepo ila mwanasheria wangu kaja kunambia mashtaka yalivyo. Nmempa mwanasheria pesa yake.nmemwambia aniachie mimi namaliza kesi mwenyewe yeye aendelee na kesi nyingine. Nmeshajipanga maswali ya kumuuliza mshtaki wangu.
Mimi: hiyo pesa ulinipa ilikuwa tsh ngapi?
Yeye: ilikuwa tsh mil 15
Mimi: uongo,ilikuwa tsh mil 14,950,000. Siku nimekuja kuonana nawe nlivaa shati rangi gani?
Yeye: sikumbuki ulivaa shati rangi gani.
Mimi: sikuvaa shati nlivaa tshirt. Je tuliandikishana popote hayo makabidhiano?
Yeye: hatukuandikishana.
Mimi: kwa hiyo uliniamini?
Yeye: ndiyo.
Mimi: sasa kwa nini hutaki endelea kuniamini kuwa ntakupatia hiyo pesa?ipo wapi imani yako sasa?
Yeye: siwezi kukuamini kwa sababu muda umeenda
Mimi: uongo muda haujaenda kihivyo sema tu una gubu na wivu na mimi ukiona naendelea kimaisha.
Mpaka hapa hakimu atajua jamaa ni chuki tu na wivu ndo unamfanya awe hivyo. Nadhani hapa namshinda mapema tu asubuhi kabla hata watu chai haijaisha tumboni. Nimeona mwanasheria hana kazi hapo. Hii game namaliza mwenyewe kibishi.
Kwa akili hizo na maelezo yako tyr umeshashindwa kesi kabisa.Jamaa yangu ameenda nishtak kuwa nmemtapeli tsh mil 15. Yaani jamaa hapo tu nishamshinda. Hiyo pesa alinipa tuagize mzigo flani Congo. Tuliyempa hajaonekana na simu haipatikani.
Kesi yangu imesomwa mi sikuwepo ila mwanasheria wangu kaja kunambia mashtaka yalivyo. Nmempa mwanasheria pesa yake.nmemwambia aniachie mimi namaliza kesi mwenyewe yeye aendelee na kesi nyingine. Nmeshajipanga maswali ya kumuuliza mshtaki wangu.
Mimi: hiyo pesa ulinipa ilikuwa tsh ngapi?
Yeye: ilikuwa tsh mil 15
Mimi: uongo,ilikuwa tsh mil 14,950,000. Siku nimekuja kuonana nawe nlivaa shati rangi gani?
Yeye: sikumbuki ulivaa shati rangi gani.
Mimi: sikuvaa shati nlivaa tshirt. Je tuliandikishana popote hayo makabidhiano?
Yeye: hatukuandikishana.
Mimi: kwa hiyo uliniamini?
Yeye: ndiyo.
Mimi: sasa kwa nini hutaki endelea kuniamini kuwa ntakupatia hiyo pesa?ipo wapi imani yako sasa?
Yeye: siwezi kukuamini kwa sababu muda umeenda
Mimi: uongo muda haujaenda kihivyo sema tu una gubu na wivu na mimi ukiona naendelea kimaisha.
Mpaka hapa hakimu atajua jamaa ni chuki tu na wivu ndo unamfanya awe hivyo. Nadhani hapa namshinda mapema tu asubuhi kabla hata watu chai haijaisha tumboni. Nimeona mwanasheria hana kazi hapo. Hii game namaliza mwenyewe kibishi.
Ila tuache utani, Raymond alikuwa mkali. Jamaa hakuna chocho asiyoijua, hakuna tapeli asiyemjua, Ni mwanasheria, anawajua ma hackers wasiojulikana.Uaddict wako wa kwenye blacklist kujifanya raymond reddington utakuja kufungwa,muache wakili wako aendelee na hiyo kesi,acha kujidanganya
Naskia mda huu kila mtz anadaiwa 1M
Hivi amekuelewa kweli huyu msanii?Yaani mwizi anabisha dirisha alilotajiwa kupitia na kuiba. Kwamba hakupita hilo, bali alipitia lile lingine.
Kikubwa aliingia ndani na kuiba haijalishi alipitia dirisha lipi. Mvua kadhaa alikula.