Huyu jamaa kuoga anashindwa

Huyu jamaa kuoga anashindwa

ehee kumbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
267
Reaction score
155
Nina kijana wangu sasa ana miaka 15, akiwa naumri wa miaka 9 akapatwa na tatizo ambalo hapo mwanzo hakuwa nalo juu ya kuoga.akioga anawashwa mwili mzima anajikuna sana.

Tena anajikuna sana akioga maji ya baridi,bora maji ya moto.ili asijikune lazima aoge kisha akitoka bafuni mara moja afanye zoezi lolote la kumtoa jasho haraka kama kukimbia au aote moto bila hivyo utamhurumia.kujikuna kwake sio kwamba ana vimba mwili.

Amepimwa minyoo mara kadhaa hakuna minyoo.ametumia dawa za kutibu mchafuko wa damu hakuna nafuu, ili asijikune akitoka bafuni lazima afanye zoezi la kumtoa jasho haraka ndo nafuu yake.

Naomba msaada.
 
Mhhhh ama kweli kua uyaone. Pole ndugu yangu ngoja watakuja madokta wa JF watakupa msaada
 
mimi binafsi nina tatzo kama lake, tofauti yetu mimi huwa nikifanya zoezi ndio naweza kuoga kwa amani.
Limenisumbua sasa kwa muda wa miaka tisa na nimehangaika hospital tofauti bila mafanikio.
Chanzo cha tatizo hilo ni kuwa na ngozi kavu so kwa hiyo unapooga mwili unapoteza maji, wapo wanaoshauri kujipaka mafuta kabla ya kuoga.
 
Back
Top Bottom