ehee kumbe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2013
- 267
- 155
Nina kijana wangu sasa ana miaka 15, akiwa naumri wa miaka 9 akapatwa na tatizo ambalo hapo mwanzo hakuwa nalo juu ya kuoga.akioga anawashwa mwili mzima anajikuna sana.
Tena anajikuna sana akioga maji ya baridi,bora maji ya moto.ili asijikune lazima aoge kisha akitoka bafuni mara moja afanye zoezi lolote la kumtoa jasho haraka kama kukimbia au aote moto bila hivyo utamhurumia.kujikuna kwake sio kwamba ana vimba mwili.
Amepimwa minyoo mara kadhaa hakuna minyoo.ametumia dawa za kutibu mchafuko wa damu hakuna nafuu, ili asijikune akitoka bafuni lazima afanye zoezi la kumtoa jasho haraka ndo nafuu yake.
Naomba msaada.