Huyu Jamaa kweli kafanana na Diamond Platnumz

Niliona video Youtube ikisema "mdogo wake Diamond" sasa kwenye ile video background photo inayoonekana ndo hiyo. Sikuifungua lakini nilidhani huyo anayeonekana ni Diamond na nikiangalia video yenyewe ndo ningemuona huyo mdogo wake Diamond. Kumbe niliyekuwa nadhani Diamond ndo mdogo wake Diamond mwenyewe! Ama kweli duniani wawili wawili. Huyo jamaa anaweza kwenda mkoa akatafuna videshee vya mtaani kwa kujifanya Mond
 
Mkuu nakuomba niachie Shadeeya, moyo umezimika dhidi yake sijiwezi
Nitakutafutia mtoto matata sana kutoka Majani Mapana au Makorora pale Tanga, mwenye sauti nyoroooooro ya kumtoa nyoka pangoni na nikupatie na dolari za Kimarekani juu, lakini Shadeeya kaa nae mbali kilometa lake nane😀😀😀
 
Leo nimebahatika kutazama video ya huyu Jamaa alie fanana na Diamond..mwanzoni sikiweza kutofautisha yaani nilijua ni Mond mwenyewe

View attachment 1596613

Toa maoni yako kuhusu huyo Jamaa !
Kafanana nae kweli ila ni kwasababu ana domo kubwa chapati hakunji!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…