Huyu jamaa Maraues Brownlee anajua sana upande wa Tech

Huyu jamaa Maraues Brownlee anajua sana upande wa Tech

Shida wengi wetu tunataka tuanze juu, ila jamaa ni proof ya, Usidharau mwanzo mdogo.

IMG_6259.jpg

Kajamaa kameanza kitambo sana. Most succesful people hawalali na kuamka na mafanikio. Ni process ndefu

KEEP FIGHTING
 
Hivi ni Mmarekani? Maana nyumba kama haujakaa kimarekani.

Ni mmarekani , hizo nyumba ndo zimejaa USA kwa watu wa kawaida. Wanaishi kwenye nyumba flan simple zipo kama ma ghetto flan zina muonekano flan wa kizamani kuanzia furniture , electronics n.k ni ma ghetto flan hayana makuu. Mpaka sasa Wamarekani wengi wanaishi hivyo
 
Huyu jamaa Marques Brownlee ni kama Chief Mkwawa humu. Anaijua tech na kikubwa ni anajua kuifafanua. Video yake latest alikuwa anatoa result za upimaji wa ubora wa Camera kutokana na kura za watumiaji. Jionee.
View attachment 2866718
Nimejifunza mambo mengi sana kwenye simu sabu ya huyu jamaa Marques Brownlee yuko open sana na hayuko biased.
 
Back
Top Bottom