Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kinondoni hao, Temeke hatuna izo mambo.Watu wa Dar mna mambo mengi.
Mafuriko bado yanawasumbua lakini na habari za Mondi mna update zote 😒
Usingeleta huu uzi, nisingejua kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinondoni hao, Temeke hatuna izo mambo.Watu wa Dar mna mambo mengi.
Mafuriko bado yanawasumbua lakini na habari za Mondi mna update zote 😒
Usingeleta huu uzi, nisingejua kitu
Vipi unatamani ungekuwa SarahWanaume wa Dar mnapata wapi huo muda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee ngoja nkarudieIle ukiweka blue light unaslide fresh huoni kitu chochote
Ukitaka kufaidi haya mambo usitumie VAR 😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee ngoja nkarudie
SIo watu wa Dar, sema Wavulana wa DarWatu wa Dar mna mambo mengi.
Mafuriko bado yanawasumbua lakini na habari za Mondi mna update zote 😒
Usingeleta huu uzi, nisingejua kitu
Mme wa huyo Sarah anajiskiaje mke kupandishwa jukwaani na kushikwa shikwa mgongo na huyo muhuniSIo watu wa Dar, sema Wavulana wa Dar
Kumbe ana Mume?Mme wa huyo Sarah anajiskiaje mke kupandishwa jukwaani na kushikwa shikwa mgongo na huyo muhuni
Si unamuona na yeye alivyo mng'ang'ania mwamba kifuani lkn 😀Mme wa huyo Sarah anajiskiaje mke kupandishwa jukwaani na kushikwa shikwa mgongo na huyo muhuni
Mtu hujui maisha yake kipi kinakupa ujasiri wa kusema amelose hope?Sarah , kwa umri wake ilibidi hata Kama hana familia ,Ila ilibidi awe na utulivu mkubwa wa kimaisha.
She is seem to lose the hope .
Uliona wapi mke wa mtu anavaa hivyo.?Si unamuona na yeye alivyo mng'ang'ania mwamba kifuani lkn 😀
Takataka..Eti 'braiwashed'!! Hivi na wewe ukute wala si kijana wa afumbili..ila akili ndo huna.!?
Uliona wapi mke wa mtu anavaa hivyo.?
Hapo kuna mawili either huyo sio Sarah wa huo wimbo wa “Kamwambie” ametafuta tu random girl wakaingia deal au inawezekana pia kweli ni yeye lakini pia kampanga pia juu ya hilo tukio...Jaribu kuangalia sehemu aliyopo huyu Sarah, The way Diamond alivyomuita, Kipindi cha hugging utagundua tu kuna mchezo umefanywa..Kwa muziki wa bongo Diamond platinum anajua kucheza na mindset za watu ona sasa Sarah wa Kamwambie anavyotrend behind the scenes unaweza kuta ni tukio la kusadikika ila tayari watu washakuwa brainwashed.
View attachment 2976167
Ndio asilimia 100.. aliyeolewa mwenye mume, mashemeji, mawifi na wakwe hawezi kuthubutu kuvaa hivyoKwani mavazi ndo yanatoa ishara kuwa huyu kaolewa au hajaolewa?
watoto wa dar shida sanaWatu wa Dar mna mambo mengi.
Mafuriko bado yanawasumbua lakini na habari za Mondi mna update zote 😒
Usingeleta huu uzi, nisingejua kitu
Ndio asilimia 100.. aliyeolewa mwenye mume, mashemeji, mawifi na wakwe hawezi kuthubutu kuvaa hivyo
Baba yake na Keagan hajambo hapo fasi ya aduas?Watu wa Dar mna mambo mengi.
Mafuriko bado yanawasumbua lakini na habari za Mondi mna update zote 😒
Usingeleta huu uzi, nisingejua kitu