Huyu jamaa ni Genius

Huyu jamaa ni Genius

Kwa muziki wa bongo Diamond platinum anajua kucheza na mindset za watu ona sasa Sarah wa Kamwambie anavyotrend behind the scenes unaweza kuta ni tukio la kusadikika ila tayari watu washakuwa brainwashed.
View attachment 2976167
Hapo kuna mawili either huyo sio Sarah wa huo wimbo wa “Kamwambie” ametafuta tu random girl wakaingia deal au inawezekana pia kweli ni yeye lakini pia kampanga pia juu ya hilo tukio...Jaribu kuangalia sehemu aliyopo huyu Sarah, The way Diamond alivyomuita, Kipindi cha hugging utagundua tu kuna mchezo umefanywa..

Anyways Mjini Shule..Shoutout to Diamond platinumz.
 
Back
Top Bottom