Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mengine ni yakijinga sana kucomment use unashirikisha akili zako timamu kabla hujamwaga pumbaYaani mtoto wa kiume unamfagilia mwanaume mwenzako?
Why usimfagilie baba yako mzazi?
Nyuzi za kumsifia Domo zimezidi sana mkuu,ni upuuzi mwanamme mzima unanunuliwa simu na bando kuja kumsifia mtu....Mambo ya kupiga kazi kwani nani ambaye hapigi kazi? Wasifie vitu positivi kama ile ya kumlipia hawa matibabu,kumpa mlemavu bajaji,kumpa lukmba gari etc na sio sifa za kijinga humu sizizo na kichwa wala miguu.Umejifikiria kabla ya kuandika hapa? Au umejikuta tu.
Binafsi, sijaona tatizo kwa mleta mada. Tunatofautiana.Nyuzi za kumsifia Domo zimezidi sana mkuu,ni upuuzi mwanamme mzima unanunuliwa simu na bando kuja kumsifia mtu....Mambo ya kupiga kazi kwani nani ambaye hapigi kazi? Wasifie vitu positivi kama ile ya kumlipia hawa matibabu,kumpa mlemavu bajaji,kumpa lukmba gari etc na sio sifa za kijinga humu sizizo na kichwa wala miguu.
Kinachosikitisha ni watu wale wale kila siku nyuzi za KIBASHITE kumuhusu DOMO hata kama unalipwa waende kwenye page zao huko insta na facebook wakamsifie na sio humu jukwaa la JF hata kama ni CELEBRITY FORUMS leta habari za maana kumuhusu celeb na sio habari za nyegezi au sengerema au kunduchi.Binafsi, sijaona tatizo kwa mleta mada. Tunatofautiana.
Yaani mtoto wa kiume unamfagilia mwanaume mwenzako?
Why usimfagilie baba yako mzazi?
Hakuna Negative comment hapo go and sleepSawa, ila umekuwa selective. Kuna zile comments zingine negative hujazionesha hapo....!
Kwani baba mzazi na yeye si Ni mwanaume mwenzanguYaani mtoto wa kiume unamfagilia mwanaume mwenzako?
Why usimfagilie baba yako mzazi?
Jamaa kaongea point wanawake mna tabia ya kupenda wanaume wenye mafanikio bc hpo ndani ya nyumba unaonekana mngese tu kisa anakucompare na flan!Hahahaaa nimecheka huyo aliyesema anawafanya wanaume wengine waonekane wasenge
Jamaa kaongea point wanawake mna tabia ya kupenda wanaume wenye mafanikio bc hpo ndani ya nyumba unaonekana mngese tu kisa anakucompare na flan!
Haaaaaahaaaaa naona unataka kujimegea kdg!Kwa sababu wanasema samaki mmoja akioza wote wameoza acha nikae kimya
[emoji848][emoji51][emoji51][emoji51]Aisee hivi ni kwanini kwenye mautofauti yenu huwa mna waingiza wakina mama tena kwa dharau kosa kuwaleta Duniani nyie KIMA.
Sio kujimegea ndio ukweliHaaaaaahaaaaa naona unataka kujimegea kdg!
Kweli wewe Bashite watu wanapiga kazi 24/7 analala masaa mawili na hiyo mwaka mzima mtu anaenyeka,sasa kumsifu domo kufanya show tatu tena za masaa mawili? yaani anatoka hotelini hadi kwenye show na gari,akimaliza masaa mawili anarudhishwa hotelini na gari,analala/anapumzika kisha kesho yake anapelekwa aiport na gari anapanda ndege hadi hotelini,anapumzika hotelini mpaka saa 7 anaenda kwenye show kwa gari anapiga masaa mawili anarudi hotelini halafu ndio unasema anapiga kazi?
Ukitaka kujua watu wanaopiga kazi nenda site mtu anabeba ndoo ya zege kwa masaa 6 mfululizo,mtu anatindua lami masaa matatu nonstop na anapiga kazi kwa miaka mitatu mpaka ghorofa linamalizika.
Kuna vitu vingine sio vya kuropoka hata kama unalipwa na domo kuja kumsifia humu....sio wote mabashite wanaoweza kuvumilia upuuzi.