Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Huyu jamaa ana ubaguzi sana akipost mchezaji mchanga anataja mpaka kabila utasikia mangi na hao wachaga mpira na vipaji hawana kuna mchambuzi mwenzie ni mchanga sijui alikuwa anaenda wapi basi kampost eti mangi kama hashtag πππMchaga na michezo wapi na wapi!
Nahisi CMG kuna shida mahali, huwezi kukaa na mfanyakazi anayesambaza ukabila live bila kumkemea au kuchukua maamuzi. Kijana kutwa nzima ni kutangaza uchaga na Rombo kila kipindi tena radio inayosikika nchi nzima, abadilike ajikite kwenye kazi aachane na mambo ya urombo.

Mshamba nikiwaambia humu wachaga hawajiamini wanataka wao wao tu wanaogopa kuzidiwa uyo daily kuweka hashtag eti mangi majishamba sijawai kuonaNahisi CMG kuna shida mahali, huwezi kukaa na mfanyakazi anayesambaza ukabila live bila kumkemea au kuchukua maamuzi. Kijana kutwa nzima ni kutangaza uchaga na Rombo kila kipindi tena radio inayosikika nchi nzima, abadilike ajikite kwenye kazi aachane na mambo ya urombo.
Ndio mkuuHuitaji kuchambuliwa kuhusu mpira wa miguu, ni mchezo unachezwa sote twaona...
Amri Kyemba na yule host wao jitu la huko Bambabey aisee wako poa sanaHamna kitu hapo mtu kasoma sheria anakuja kuchambua michezo,
Farhan Kiham
Amri kiemba
Yahaya chenge
Hao kidogo wanaipa CLOUDS credit ya watu kusikiliza wengine wote tia maji tia maji.