Huyu jamaa wa EFM anaboa sana

Huyu jamaa wa EFM anaboa sana

Wengine wanaipenda EFM kisa huyo jamaa kwahiyo we sikiliza vipindi unavyopenda ya panju mwachie panju
jamaa hajui kama clouds leo kesho wanamtaka huyo mtu ila mkataba kuuvunja ndio ishu na panju ndie aliesababisha mpaka kipindi cha michezo cha usiku cha kina shafii kumleta mbana pua wao ili afananie na panju......
 
Acha jamaa afenye kazi kama anakukera zima radio tuu.
 
Back
Top Bottom