ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
jamaa hajui kama clouds leo kesho wanamtaka huyo mtu ila mkataba kuuvunja ndio ishu na panju ndie aliesababisha mpaka kipindi cha michezo cha usiku cha kina shafii kumleta mbana pua wao ili afananie na panju......Wengine wanaipenda EFM kisa huyo jamaa kwahiyo we sikiliza vipindi unavyopenda ya panju mwachie panju