Huyu jamaa yupo vizuri

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Juzi nilileta post kwamba Eric Omondi anajua na yupo vizuri,wapo waliosema anaiga na hata kumfananisha na comedians wa bongo.
 
mbona naona picha ya rihanna huyo Eric Omondi huypo wapi??
kweli jamaa anajua kuigiza acha wabongo wamekalia majungu
 
mbona naona picha ya rihanna huyo Eric Omondi huypo wapi??
kweli jamaa anajua kuigiza acha wabongo wamekalia majungu
T-shirt aliyovaa Rihanna ndo ina picha ya omondi
 
Haters be like "ni photoshop" [emoji1549][emoji1549][emoji1549]
 
Halafu kajamaa kana mkwwanja mreef lakini hakatoi shavu hata lile la kisela
 
Huyu anajua kuchekeshwa kwakweli
 
mkuu usiwe rahisi kihivyo my brother wame edit wakenya wanapenda maupumbavu ayo
 
Inapendeza sana...

Sasa hivi utaona watu wanaanza kuvaa hizo tshirt...


Cc: mahondaw
 
Mamy K tuachie hyo miili ya kina Erick Omondi wengine ndo swaga zetu yaani wanatufanya tu comeπŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…