Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nomeizoom picha naona ni kababu ila rangi ya nywele kama yeye
Yupo kwenye tshet ya rihannambona naona picha ya rihanna huyo Eric Omondi huypo wapi??
kweli jamaa anajua kuigiza acha wabongo wamekalia majungu
Kamwili kembamba ila moja Namba....kuna picha yke flan kapiga kakaa na demu dooh jamaa ana mak.ende makubwa km Nguruwe 😀😀😀 wakenya walimzingua sana na ile pichaNa skeleton pia wanafanana. Hivi anakula kokoto huyu Omondi mwili gani ule
t shirt angaliambona naona picha ya rihanna huyo Eric Omondi huypo wapi??
kweli jamaa anajua kuigiza acha wabongo wamekalia majungu
Ina maana photo ipo edited kisha Rihanna akai-post; au?!mkuu usiwe rahisi kihivyo my brother wame edit wakenya wanapenda maupumbavu ayo
hahaahahaahhahahahahahaahahahhahahahNa skeleton pia wanafanana. Hivi anakula kokoto huyu Omondi mwili gani ule
aiseee kweliT-shirt aliyovaa Rihanna ndo ina picha ya omondi