Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Sasa kama hauna shida na Yanga kudai uhalali wa bodi ya ligi kughairisha mchezo, utapataje majibu juu ya uhalali au usahihi wa Yanga kudai point3?Mimi sina shida na Yanga kudai uhalqli wa bodi ya ligi kughairisha mchezo shida yangu ipo kwa Yanga kwenye hiyo barua yao kudai points 3 za mezani na magoli matatu
Tuanzia kwanza kwenye kiini cha tatizo ambalo ni la bodi ya ligi kuifuta ile mechi ni sahihi au sio sahihi. Kwasababu kama ni sahihi basi inafuta uhalali wa Yanga kudai hizo point 3 na kama sio sahihi walichofanya itaipa uhalali wa Yanga kudai point3.
Uzuri haikupita hata wiki Misri imetufundishwa kuhusu usimamizi wa ligi kwa kufuata kanuni bila kujali ukubwa wa timu inapaswa uweje.