Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wasalaam..
Pamoja na kupatikana mshindi ambaye kwangu naona amestahili lakini shindano hili bado lina mambo yale yale yanayo tia shaka au unaweza kuyaita maajabu...
Moja ya maajabu kwenye hili shindano ukiacha gari lile ambalo halina hadhi na baadae likaoshwa matairi kabisa basi maajabu mengine ni upatikanaji wa waamuzi au majudge wanao saidia kupatikana mshindi...
Bado najiuliza ni kweli hili shindano halina vigezo maalum vya kumpata judge au ni mtu yeyote tuuu?
Hivi Kennedy kweli ndio kati ya watu walio subiriwa au kutafutwa kuwa majadge ndiyo yeye amefaa na kupatikana? Kwakweli bado sidhani kama waandaji wa hili shindano wako serious kabisa....
Hivi kweli huyu anaweza kuwa judge wa hili shindano?
Kituko kingine alicho kifanya huyu Judge Kennedy ni kutafuna peni alimanusura kuimeza....hahahah hapa nilijifunza kuwa tabia haina dawa na wala haipotezi kumbukumbu...