Huyu Judge naye alikuwa kivutio miss Tanzania, alitafuna peni nusu kuimeza yote

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam..
Pamoja na kupatikana mshindi ambaye kwangu naona amestahili lakini shindano hili bado lina mambo yale yale yanayo tia shaka au unaweza kuyaita maajabu...

Moja ya maajabu kwenye hili shindano ukiacha gari lile ambalo halina hadhi na baadae likaoshwa matairi kabisa basi maajabu mengine ni upatikanaji wa waamuzi au majudge wanao saidia kupatikana mshindi...

Bado najiuliza ni kweli hili shindano halina vigezo maalum vya kumpata judge au ni mtu yeyote tuuu?
Hivi Kennedy kweli ndio kati ya watu walio subiriwa au kutafutwa kuwa majadge ndiyo yeye amefaa na kupatikana? Kwakweli bado sidhani kama waandaji wa hili shindano wako serious kabisa....
Hivi kweli huyu anaweza kuwa judge wa hili shindano?

Kituko kingine alicho kifanya huyu Judge Kennedy ni kutafuna peni alimanusura kuimeza....hahahah hapa nilijifunza kuwa tabia haina dawa na wala haipotezi kumbukumbu...
Screenshot_2018-09-09-07-51-05.jpg
 
Connection ila ni mweupe kabisa kwenye hiyo tasnia ila swala la kula kalam hata mi ni tatizo na limefika mbali kwani nakula hadi ambazo nimeazimwa kitu ambacho kimekuwa tatizo na kero hadi kwangu mwenyewe sina kalamu yenye mfuniko kuepuka kula za watu huwa nasign narudisha kwao ni tatizo la kitaifa
 
Ulitaka awe na vigezo gani ndio uone amekidhi?

Akili za uvccm bhana
 
Wasalaam..
Pamoja na kupatikana mshindi ambaye kwangu naona amestahili lakini shindano hili bado lina mambo yale yale yanayo tia shaka au unaweza kuyaita maajabu...

Moja ya maajabu kwenye hili shindano ukiacha gari lile ambalo halina hadhi na baadae likaoshwa matairi kabisa basi maajabu mengine ni upatikanaji wa waamuzi au majudge wanao saidia kupatikana mshindi...

Bado najiuliza ni kweli hili shindano halina vigezo maalum vya kumpata judge au ni mtu yeyote tuuu?
Hivi Kennedy kweli ndio kati ya watu walio subiriwa au kutafutwa kuwa majadge ndiyo yeye amefaa na kupatikana? Kwakweli bado sidhani kama waandaji wa hili shindano wako serious kabisa....
Hivi kweli huyu anaweza kuwa judge wa hili shindano?

Kituko kingine alicho kifanya huyu Judge Kennedy ni kutafuna peni alimanusura kuimeza....hahahah hapa nilijifunza kuwa tabia haina dawa na wala haipotezi kumbukumbu...View attachment 860943
Okey ya mwakani wewe ndiyo utakuwa jaji.
 
Connection ila ni mweupe kabisa kwenye hiyo tasnia ila swala la kula kalam hata mi ni tatizo na limefika mbali kwani nakula hadi ambazo nimeazimwa kitu ambacho kimekuwa tatizo na kero hadi kwangu mwenyewe sina kalamu yenye mfuniko kuepuka kula za watu huwa nasign narudisha kwao ni tatizo la kitaifa
Duh, we jamaa unatafuna hata ambazo umeazimwa.

Hiyo tabia wacha aise, mimi nimeshamshuhudia bonge mmoja anapitisha peni kujikuna 'ufa' wa makalio, akiamini hakuna anayemuona.
 
Haya ndio mambo yanayokufaa kazi ya kupigia debe chama chakavu haikufai.
 
Hamna cha kusifia Lumumba umeamua kuandika utumbo
 
Mkuu bora ukaunge mkono juhudi huku naona unachochora tu.
 
Back
Top Bottom