Huyu kaka ana jinsia gani?

Mmmh angekuwa na tabia za kishoga ndio ningeamini

Jamani msipende kufuatilia maisha ya watu, acheni mtu na maisha yake kwani wewe unapungukiwa nini na swala la huyo jamaa? Mwacheni wakati wake ukifika ataoa tu, msipende kumfuatilia mtu na kukoncludi mambo fulani wakati una uhakika nayo. Acheni kushindana na kivuli cha jua kutwa nzima kuchunguza watu> Hii ndo maana watu wengine huwa wanalazimika kufanya matendo fulani mbele ya jamii ili jamii imuone ali hali hana lolote. Mtu atalazimika hata kuazima nguo za kuvaa ili aonekane na yeye anazo mbele ya jamii. Ukitaka kuendelea usifuatilie maisha ya watu vinginevyo utaishia kuwachukia watu bila sababu na kufikia kuwaeleza kwenye mitandao kama hivi.
 
Utakapojua anamtafuna gf wako ndo utatia akili
 
Madame X

Huyu kama ni mtu wako wa karibu sana kama ulivyotueleza hapa, unaonaje ukaenda moja kwa moja ukamuuliza mwenyewe kuliko kumsimanga hapa?

Kweli asisee kama mtu unamjuwa inakuwaje umsengenye hapa? ndo hao utakuta ugomvvi na mumewe anaomba ushauri redioni, kwani redio ndo iliwafungisha ndoa? Si kila kitu cha kuweka hapa. Mbona kama mtu ukiwa unaharisha husemi inakuwa siri yako? Ya nini siri ya mwenzio kuianika hapa? Kwa hali ninavyoiona huyo mtu hata akioa basi mke wake atakuwa na kazi kubwa na mawifi zake maana mh, utasikia akioa tena mwanamke mwenyewe sijui vipi? wanawake wanamatatizo sana. Mtu anao uwezo wa kufika mpaka hata miaka 35 hajaoa kwani shida iko wapi ama mpaka 40. Majungu si mtaji jamani
 
Ni kwamba huna jibu!
Kukujibu ni sawa na kusema na ukuta, maana unataka ubishani usiokuwa na mwisho. Ndio maana nikakwambia rudia tena post yangu, nilishaweka wazi kuwa huyo mtu si gay lakini naona umeng'ang'ania, my question was simple if there is any other category ambayo labda mimi sijui, kuna watu ambao wamezungumzia kuhusu uhanisi ambacho ni kitu nilikuwa sikijua wala kufahamu.

Ni zaidi ya wewe unavyofikiri ni umbea au kumuingilia mtu kwenye maisha yake, huyu mtu anakaunyonge fulani na hiyo ndio sie tunabother na kama ni mtu wako wa karibu lazima pia ikukere, hata kama angekuwa gay as long as he is happy with who is thats fine but in this case its not!
 
Nyani Ngabu , Kiranga , Kongosho naona bado mmeshikilia bango la kuwa huyu jamaa ni gay with almost now 10 pages and still sioni mwisho wa mabishano yenu. Nilishaweka wazi hilo kuwa si gay rudia tena kusoma my post maana hana dalili hizo. Na kama hana matamanio ya mwanamke hii inaweza kuwa ni ulemavo au nini....Hakuna aliyemshikia gun ya kuoa au kuambia asipofanya hivyo atapewa radhi. Still anayo maamuzi ya kama hataki kuoa anaweza baki hivyo.

Nilifikiri mtakuja na ushauri ya kuwa jamaa yuko matatizo ya saikolojia au viungo na sio kukazania aachwe kwa sababu kaamua gay. Na Gaijin , ningefurahi ningeona kuwa ni mhuni wa kuzaa ovyo kuliko kuwa mtu mwenye heshima, kumbuka pia nilisema kuwa maadili ya malezi huyo jamaa haimruhusu.

In nutshell naona mmezidi kuichakachua hii thread kwa kila mmoja kijionyesha anajua zaidi na kumbe hakuna hata moja aliyejaribu kufahamu malengo ya huu uzi.
 
Last edited by a moderator:
Madame X

Huyu kama ni mtu wako wa karibu sana kama ulivyotueleza hapa, unaonaje ukaenda moja kwa moja ukamuuliza mwenyewe kuliko kumsimanga hapa?

Nilishazungumza nae, in his conclusion mazingira yake hayamruhusu kukutana na wadada anaowataka yeye, ndio nikajaribu kumpa connnection lakini nilipoona hazina mafanikio nikahisi labda itakuwa saikolojia. Hili nililofikiri mimi la saikolojia siwezi kumuuliza maana ni sawa na kumuuliza kichaa kama anataka tiba.
 

many Gays ni wasiri sana
huwezi ona hizo dalili kwa kutazama tu...
ndio maana inaitwa 'life in the closet '
kuna wanajeshi waliosifika kina Alexander the great...na wengine
mfano mkurugenzi wa kwanza wa FBI J Edgar Hoover walikuwa gays
 

Hakunaga MadameX
 
Last edited by a moderator:

Lanini povu na tatizo sio lako, siku nitakapo kuja kuliweka la kwako ndio unitafute. Hapa hakuna kusengenyana, inaonyesha wengi wenu hamjui maana yake. Unasengenya au kutoa aibu ikiwa umetaja identity yake, mbona saa nyingine ni wazito wa fikra?
 
madame x, possibility nyingi zimetajwa kama unavyoona.

1) single life
mie mwenyewe nna bro wangu yupo hvo hvo anachezea 30 huko, yy anadai hatak stress za kwenye mapenz so kila mtu kamuacha anamuangalia tu, na msela anazeeka hv hv.......................

lakini hata katika dini kuna kitu wanaita 'mseja'

ni mtu anaamua kuishi single kwa sababu zake mwenyewe.

2) matatizo ya viungo (impotence)
Huenda si rizki!!!

3) gay
Huyo nadhani atakuwa lesbian!

4) psychological upbringing
 
Blaine ,soma comments za hao nilowataja utaona zimelalia upande mmoja
 
Last edited by a moderator:
Blaine, asante kwa kuweka post yangu ili madame X aisome.

madame X
Hakuna mahali niliposema huyu mtu wako ni gay, mie nimesema kuheshimu nafasi za gays kama wameamua kuwa gays.

Mie niliongelea 'useja'

weka emotions pembeni kwanza kwa muda ili upate mantiki.

Kwa hiyo wewe unataka kusema ana matatizo ya kisaikolojia??

Nitawezaje kufikia kujua hilo wakati hata sifahamu? Hata wenye matatizo ya kisaikolojia huweza kumsaidia kama yeye mwenyewe hajaona ana tatizo.
 
Last edited by a moderator:

Wewe ulishapewa jibu la kistaarabu kuwa umuache na yake lakini umeyashupalia mambo yake.

Kakwambia hapati anaowataka yeye, maa khussat ukamtafutie unaowataka wewe?!

Ni mtu mzima, muacheni na yake hususan kwa vile hafanyi mambo ya kipuuzi kiasi cha kusema labda anaharibu jina la ukoo

Akiwa khanithi, akiwa khaboo, akiwa mtawa, akiwa mseja, akiwa mjane wa kudumu, yote ni yake muacheni, anaehitaji msaada husema japo kwa ishara. Huyo yeye anafanya yake tu, kumuingilia ni kukosa ustaarabu na heshima kwa maamuzi yake binafsi
 
sijasema anatatizo la saikolojia, nimenukuu tuu baadhi ya sababu zilizotajwa kwenye hii thread
 

khaboo?
ni kiswahili hiki?
maana please ...
 

well-said madam
 
pole Blaine, hayo majibu yalikuwa ya madame X.

Wee hapo nilikuwa nakushukuru kwa kuni-quote, dah uzee huu.

Pole mwaya 🙂

sijasema anatatizo la saikolojia, nimenukuu tuu baadhi ya sababu zilizotajwa kwenye hii thread
 
Last edited by a moderator:

mia mia mkuu!! umsomeka...life goes on!! kwan GF nin bhana!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…