yutong
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 1,601
- 338
Mmmh angekuwa na tabia za kishoga ndio ningeamini
Jamani msipende kufuatilia maisha ya watu, acheni mtu na maisha yake kwani wewe unapungukiwa nini na swala la huyo jamaa? Mwacheni wakati wake ukifika ataoa tu, msipende kumfuatilia mtu na kukoncludi mambo fulani wakati una uhakika nayo. Acheni kushindana na kivuli cha jua kutwa nzima kuchunguza watu> Hii ndo maana watu wengine huwa wanalazimika kufanya matendo fulani mbele ya jamii ili jamii imuone ali hali hana lolote. Mtu atalazimika hata kuazima nguo za kuvaa ili aonekane na yeye anazo mbele ya jamii. Ukitaka kuendelea usifuatilie maisha ya watu vinginevyo utaishia kuwachukia watu bila sababu na kufikia kuwaeleza kwenye mitandao kama hivi.