Huyu kaka ana jinsia gani?


:wacko::wacko::wacko::wacko::wacko::wacko::wacko::wacko: well ni maisha yake, kaamua kuwa GEI, na haina haja ya kumtetea kwani ni maisha yake, kama vile wewe ulivyoamua na maisha yako

ni sawa tu, kujitambua kuwa ni GEI ni muhimu sana kuliko kukwepesha-kwepesha facts

AISEE HIVI KWANINI WANGSE WENGI NI ATHISTS?
 

Hapangekuwa na haja ya kumtetea kama watu wasingeanza kumchunguza na kumsemasema.

Kama unatambua kwamba haya ni maisha yake na hakuna haja ya kumfuatilia fuatilia kama vile wewe huna maisha yako, usimfuatilie na kumsema.

Wala hutaona nakuja kumtetea hapa. Nitaanzia wapi?
 
aisee ngoja niendelee kwanza na kazi ntarudi bidae kuzidi kuichambua kadhia hii../
no homo/
 

km unaona uliyemuunganisha nae anakosea au jamaa khvyo unavyodhania,lala nae ukiwa uchi uone shughuli yake!usije omba pooooo!
 
..and most of them are really volatile & angry too..for no reason.
kaz kwelkwel.

Ukweli ni kwamba kuna ushahidi kabisa kwamba miongoni mwa wanaojifanya kupinga ma gay kwa nguvu kabisa kuna ma gay wengi tu, wanajisikia guilty na katika kujazia ndo wanajitia prominent anti-gay crusaders.

On the other hand, mtu anaweza kuwa na principle tu ya kutetea minority yoyote. Non-whites in a white majority country, left handed people in a right-hand majority population.Wasioamini katika population iliyojaa waumini.

Ni mambo ya kuwa na uelewa tu kwamba dunia inavyoenda kuna watu tofauti, na huku kujidai shingo kavu kupinga vitu ambavyo vipo hakuna mantiki.

Na mtu kutetea watu waishi kama wanavyotaka hakumanishi mtu ni gay.

Mie natetea mashoto wapewe haki zao jeshini, wapewe silaha zilizotengenezwa kwa ajili ya mashoto, kwa sababu si kila mtu anatumia mkono wa kulia. Na mashoto wana haki na wajibu wa kuwamo jeshini.

Hilo halimaanishi mimi ni shoto.

Kuhusu kuwa passionate mi karibu kila ninachoandika naandika kwa passion, kwa hiyo likikusumbua hilo ukaliona hapa tu ni tatizo lako.
 

Kiranga naona unakimbizana na kichaa!!achana naye kabla hujaonekana kichaa pia,yaani pamoja na ujanja wako unashindwa kumwelewa mtu?
 
Kiranga naona unakimbizana na kichaa!!achana naye kabla hujaonekana kichaa pia,yaani pamoja na ujanja wako unashindwa kumwelewa mtu?

Nashukuru umeliona hili.

Ila inabidi ku expose level fulani ya ukichaa kabla ya kuacha mjadala, maana kuna wananchi wengine wanaweza kufikiri hiki kichaa ndio uungwana wenyewe, na wakaona hamna walio na hoja za kuupinga.
 
aisee ngoja niendelee kwanza na kazi ntarudi bidae kuzidi kuichambua kadhia hii../
no homo/

Kazi utakuwa nayo wewe?

Wewe bangaiza tu, wenye kazi hawaonekani humu kihivi.
 
ok............ kama umeeleweka, loud and clear :eek2:

ASEEEEEEEE
 

Thread bado ipo kwenye direction.

Ila imechukukulia suala katika kina zaidi.

Badala ya kujikita katika maswali kama "Huyu kaka ana jinsia gani?" "Mzima au vipi?"

Kuna swali kubwa zaidi limeibuka.

Hivi ni ustaarabu kuanza kumfuatilia mtu mzima katika mambo yake mwenyewe juu ya namna anavyotaka kuishi? Au hamna haja na uzabizabina huu wa kufuatiliana maisha unatokana na umaskini wa mawazo tu?

Hakuna derail hapo.

Kuna depth tu imeongezeka.
 


Mmmhhh..!!!:confused2:...........Penye miti hakuna wajenzi.
 
Hana hata mtoto wa kusingiziwa, yaani urafiki na wanawake hana hata ule wa platonic hakuna zaidi ya sisi jamaa zake.

Watu mnatabu sana. Yaani mnahiari angekuwa mhuni mhuni hivi na walau mtoto wa kusingiziwa pahala, kuliko kukaa kwa kujiheshimu na mambo yake?!

Kisha ati tunalalamika maadili yameporomoka Tanzania.
 

unapata dhambi kumuhic mtu vibaya,mbn watu km hao wk ktk jamii ni life style ya mtu alojichagulia na hujitokeza kwa kuzidi kwa dini sana humuogopesha kl kt,ht mm naelekea huko kutokana na ulaghai wa wanaume.
 
nilishangaa kuona maswali ya ugay yakiletwa na kuongelewa utadhani madame X kasema aliwahi kumuona jamaa akijivinjari na kaka mwenzie.


hapo bold ni swali zuri, wahenga walisema 'pilipili usiyoila yakuwashia nini'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…