Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
and that was my pwentijamaa bado yupo kwene closet..
na mtu yeyote anayemtetea huyu is a suspect to me too..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
and that was my pwentijamaa bado yupo kwene closet..
na mtu yeyote anayemtetea huyu is a suspect to me too..
Kwanza kuwa kwenye closet au gay ni uamuzi wa mtu, kwa hiyo hata kama ni gay (I am not saying kwamba jamaa ni gay, hata kama) ni maisha yake kaamua. Kuanza sana kumfuatilia kwa sababu yeye ni gay kunaonyesha unapenda ma gay na possibly wewe ni gay hata kama subconsciously. Watu wengi sana wanaojifanya kupinga ma gay wamekuja kukutwa wao wenyewe ni ma gay pia.
Na kuona mtu kutetea mtu kuishi maisha anayotaka "ni suspect" kuna reveal ulivyozama katika a narrowminded culture ya kutoelewa kwamba duniani kuna watu tofauti na so long as mtu hajakuingilia kwenye anga zako, mwache awe anavyopenda.
Hizi habari za kutaka kila mtu awe kama wewe ni matokeo ya ushamba na kukulia katika jamii masikini ambazo hazijui dunia ya kijiji cha pili inaendaje.
..appeal to novelty.Proof is a heavy word, kama una prove kirahisi rahisi hivi, no wonder unakuwa na medieval thinking hivi.
:wacko::wacko::wacko::wacko::wacko::wacko::wacko::wacko: well ni maisha yake, kaamua kuwa GEI, na haina haja ya kumtetea kwani ni maisha yake, kama vile wewe ulivyoamua na maisha yako
ni sawa tu, kujitambua kuwa ni GEI ni muhimu sana kuliko kukwepesha-kwepesha facts
AISEE
..and most of them are really volatile & angry too..for no reason.AISEE HIVI KWANINI WANGSE WENGI NI ATHISTS?
Habari zenu wakuu, nina mtu wangu wa karibu hali yake inanipa utata. Yeye yuko late 30's amelelewa kilokole na pia hivyo nyumbani kulikuwa na maadili mazuri yaani it was very strict family, mambo ya ujana kwao yalikuwa hayana sehemu, kwahiyo mambo ya watoto wa mjini kwake yalikuwa hakuna.
Sasa yeye ni mtu mzima, mamake na nduguze wamepiga dau la kuoa wamechoka maana kihali na mali inamruhusu (anaishi peke yake). Kitu cha kushangaza huyu mtu hajawahi kuwa wala kuonekana na GF kama kawaida ya wanaume. Hana hata mtoto wa kusingiziwa, yaani urafiki na wanawake hana hata ule wa platonic hakuna zaidi ya sisi jamaa zake. Nimejaribu kumconnect na sister fulani hivi poa, kwa kuhisi labda atakuwa domo zege nalo halikufaa maana ni muda wako pamoja lakini mazungumzo hayaendi next level.
Kuwa ni mlokole si mlokole...jamani kuna jinsia gani zaidi kwa mwanaume kama mtu si gay or straight kuna 3rd option?
..and most of them are really volatile & angry too..for no reason.
kaz kwelkwel.
Hapangekuwa na haja ya kumtetea kama watu wasingeanza kumchunguza na kumsemasema.
Kama unatambua kwamba haya ni maisha yake na hakuna haja ya kumfuatilia fuatilia kama vile wewe huna maisha yako, usimfuatilie na kumsema.
Wala hutaona nakuja kumtetea hapa. Nitaanzia wapi?
umeshasema kaka halafu unaulizia jinsia....:A S confused:
Kiranga naona unakimbizana na kichaa!!achana naye kabla hujaonekana kichaa pia,yaani pamoja na ujanja wako unashindwa kumwelewa mtu?
aisee ngoja niendelee kwanza na kazi ntarudi bidae kuzidi kuichambua kadhia hii../
no homo/
ok............ kama umeeleweka, loud and clear :eek2:Hapangekuwa na haja ya kumtetea kama watu wasingeanza kumchunguza na kumsemasema.
Kama unatambua kwamba haya ni maisha yake na hakuna haja ya kumfuatilia fuatilia kama vile wewe huna maisha yako, usimfuatilie na kumsema.
Wala hutaona nakuja kumtetea hapa. Nitaanzia wapi?
Habari zenu wakuu, nina mtu wangu wa karibu hali yake inanipa utata. Yeye yuko late 30's amelelewa kilokole na pia hivyo nyumbani kulikuwa na maadili mazuri yaani it was very strict family, mambo ya ujana kwao yalikuwa hayana sehemu, kwahiyo mambo ya watoto wa mjini kwake yalikuwa hakuna.
Sasa yeye ni mtu mzima, mamake na nduguze wamepiga dau la kuoa wamechoka maana kihali na mali inamruhusu (anaishi peke yake). Kitu cha kushangaza huyu mtu hajawahi kuwa wala kuonekana na GF kama kawaida ya wanaume. Hana hata mtoto wa kusingiziwa, yaani urafiki na wanawake hana hata ule wa platonic hakuna zaidi ya sisi jamaa zake. Nimejaribu kumconnect na sister fulani hivi poa, kwa kuhisi labda atakuwa domo zege nalo halikufaa maana ni muda wako pamoja lakini mazungumzo hayaendi next level.
Kuwa ni mlokole si mlokole...jamani kuna jinsia gani zaidi kwa mwanaume kama mtu si gay or straight kuna 3rd option?
kwa nini unafikiri hilo linahitaji kuondolewa kama mtu kaamua mwenyewe maisha yake kuishi hivyo?
Hana hata mtoto wa kusingiziwa, yaani urafiki na wanawake hana hata ule wa platonic hakuna zaidi ya sisi jamaa zake.
habari zenu wakuu, nina mtu
wangu wa karibu hali yake inanipa utata. Yeye yuko late 30's amelelewa
kilokole na pia hivyo nyumbani kulikuwa na maadili mazuri yaani it was
very strict family, mambo ya ujana kwao yalikuwa hayana sehemu, kwahiyo
mambo ya watoto wa mjini kwake yalikuwa hakuna.
Sasa yeye ni mtu mzima, mamake na nduguze wamepiga dau la kuoa wamechoka
maana kihali na mali inamruhusu (anaishi peke yake). Kitu cha
kushangaza huyu mtu hajawahi kuwa wala kuonekana na gf kama kawaida ya
wanaume. Hana hata mtoto wa kusingiziwa, yaani urafiki na wanawake hana
hata ule wa platonic hakuna zaidi ya sisi jamaa zake. Nimejaribu
kumconnect na sister fulani hivi poa, kwa kuhisi labda atakuwa domo zege
nalo halikufaa maana ni muda wako pamoja lakini mazungumzo hayaendi
next level.
Kuwa ni mlokole si mlokole...jamani kuna jinsia gani zaidi kwa mwanaume
kama mtu si gay or straight kuna 3rd option?
nilishangaa kuona maswali ya ugay yakiletwa na kuongelewa utadhani madame X kasema aliwahi kumuona jamaa akijivinjari na kaka mwenzie.Thread bado ipo kwenye direction.
Ila imechukukulia swala katika kina zaidi.
Badala ya kujikita katika maswali kama "Huyu kaka ana jinsia gani?" "Mzima au vipi?"
Kuna swali kubwa zaidi limeibuka.
Hivi ni ustaarabu kuanza kumfuatilia mtu mzima katika mambo yake mwenyewe juu ya namna anavyotaka kuishi? Au hamna haja na uzabizabina huu wa kufuatiliana maisha unatokana na umaskini wa mawazo tu?
Hakuna derail hapo.
Kuna depth tu imeongezeka.