Huyu kaka ana jinsia gani?


Mambo wanayofanya wasomi nyuma ya pazia utashangaa mwenyewe. Na siku hizi wala mtu huhitaji kwenda kwenye newsstand kununua gazeti. Access karibu ya kila kitu iko one click away.

Kwa hiyo asilimia ya wao kujihusisha na triviality hatuwezi kuijua hata kwa kukisia tu ingawa it's safe to say na wao wamo.
 

Acha kujifanya unajua sana this is MMU forum, how do you expect us to discuss mahesabu au Mars.
 
Why are you worried about his sexuality? Do you want him or something?

Ukweli kuwa mtu kama ni gay hana sehemu kwenye familiya or atleast we are not gay friendly ukweli ndio huu.
 

Kama na psychological pia ni jambo la kufikiriwa kupatiwa msaada. Maaana sidhani mtu wa aina hii atakuja akasema mimi nafikiri nina matatizo, unless those around him notice
 
And how do you deal with gay men?
Kweni wewe mmoja wao, naona imekukwaza sana habari hii, naona umeconfuse the whole idea ya hii thread. Naona level ya understanding pia iko mbali, hayo mambo ya ugay mmliyaanza nyinyi naomba urudi kuisoma the very initial post of mine, I didn't insist the guy is gay.
 

Hujajibu swali.
 
mie mwenyewe nna bro wangu yupo hvo hvo anachezea 30 huko, yy anadai hatak stress za kwenye mapenz so kila mtu kamuacha anamuangalia tu, na msela anazeeka hv hv.......................
 

Ulitaka akutongoze ndio uamini sio shoga?
 
Tatizo namba moja la watu wengi waliooa, wakishaoa wanataka na wanaowajua wote waoe otherwise wanaanza kujishtukia kama walifanya maamuzi sahihi. Kwa kifupi wanatafuta validation ya ndoa zao kwa kuwasukuma marafiki zao waoe/olewe, taabu tupu!
 
Acha kujifanya unajua sana this is MMU forum, how do you expect us to discuss mahesabu au Mars.

To the contrary, wanaojua sana hawaji ku-discuss JF, bali wasiojua sana.

Tatizo wewe unakojiweka hata wasiojua sana hawapo.

Kuna imbeciles fulani hivi wenye kwenda kwa basic instincts ambazo hata jellyfish na sea urchins hawakosi.
 
Kama na psychological pia ni jambo la kufikiriwa kupatiwa msaada. Maaana sidhani mtu wa aina hii atakuja akasema mimi nafikiri nina matatizo, unless those around him notice

Utampaje msaada mtu ambaye hataki msaada? Na pengine process nzima ya kumpa msaada itamuondolea privacy yake anayoitaka mwenyewe?

Hapo ndipo mnapoanza umbea na kuufunika kwa vazi la kujali na msaada.

Hamna lolote zaidi ya umbeya tu.
 
Tatizo namba moja la watu wengi waliooa, wakishaoa wanataka na wanaowajua wote waoe otherwise wanaanza kujishtukia kama walifanya maamuzi sahihi. Kwa kifupi wanatafuta validation ya ndoa zao kwa kuwasukuma marafiki zao waoe/olewe, taabu tupu!

Umeona eeh?

Inakuwa kama washa-bugu step sasa wanataka kila mtu aende hivyo hivyo.

Kuoa ni wito wa mtu.

Mtu mwingine anaweza kukwambia anafuata nyayo za Bwana Yesu Kristo, hataki kuoa.Utamwambiaje?
 
Ukweli kuwa mtu kama ni gay hana sehemu kwenye familiya or atleast we are not gay friendly ukweli ndio huu.

Mtu utafute ushauri wa kitu cha faragha cha mtu mwengine kwa watu wasiomjua, kisha hitimisho likitoka kuwa ni gay umchukulie hatua kali!

Inasikitisha
 
Kuwa ni mlokole si mlokole...jamani kuna jinsia gani zaidi kwa mwanaume kama mtu si gay or straight kuna 3rd option?
He could be straight (or gay) but kaamua tu kua hivo, kama ambavo wengine wanaamua kuoa, wengine wanaamua kuzaa bila kuoa, wengine wanaamua kuoa wake wawili. There are more than two/three options dear. Kuna thread ya Boflo, alikua anauliza "why are you single". Yeye mwenyewe katoa ten hypothesis, each of them as interesting as the other. I believe some can even be combined. Ukisoma majibu ndio utaona kua jibu haliwezi kua 1, 2 or 1,50.
 
kulingana na imani yangu ya dini...jamaaa anapata thawabu kwa kutooa.....mtume (s.a.w) alisema mwenyenye uwezo wa hali na mali basi na aoe..sasa madamex jamaa umesema ana mali inawezekana hana hali kwa maana ya uwezo wa kumridhisha mke......sasa ya nini kuoa afu asubuhi mwanamke kafungasha na kuondoka?? Au anavumila lakini anakuwa anatafuta liziko la nafsi nje ya ndoa??? Hapo si unakuwa unamfanyisha dhambi mwenzio?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…