Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Huyu kaka nampenda sijui namtamani ila ndo vile akiweka picha yangu dp ananiburudisha sana. Baby nakusubiri urudi tuendelee.
Yours
S....n
"...Baby nakusubiri urudi TUENDELEE ...." Hiyo "tuendelee" sijui ni safari .... yaani
 
ce44a896089ecbb18cfc4182822285cf.jpg
nanuona Ivuga wenzake wanasukuma gari yeye anasukuma wesere
Hizi. I tabia za yule jamaa mkenya Daby.
Hadi alianzaga kuwafanyia interview wadada wenye misambwanda
 
Back
Top Bottom